-
Utulivu wa kiasi fulani warejea Sudan Kusini
Jul 20, 2016 16:10Duru za habari zimearifu kuwa hali ya utulivu wa kiasi fulani imerejea huko Sudan Kusini kufuatia uamuzi uliochukuliwa na Umoja wa Afrika wa kutuma wanajeshi wa kulinda amani nchini humo.
-
Amnesty yaeleza wasiwasi kutokana na kukamatwa waandamanaji Marekani
Jul 11, 2016 16:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake mkubwa kutokana na kukamatwa waandamanaji wanopinga ukatili wa polisi nchini Marekani.
-
Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu
Jun 30, 2016 03:28Hali ya haki za binadamu nchini Burundi imejadiliwa katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
-
AI: Myanmar inapaswa kuchunguza mashambulizi ya msikiti
Jun 25, 2016 14:36Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeyataja mashambulizi yaliyofanywa na Mabudha wenye misimamo mikali wa Myanmar dhidi ya msikiti kuwa ni jinai na kusisitiza kuwa, machafuko mapya yanayolenga Waislamu nchini humo yanapaswa kufuatiliwa na wahusika wake kuadhibiwa.
-
Amnesty International: Serikali ya Jamhuri ya Kongo imeshambulia na kuua watu katika maeneo ya raia
Apr 18, 2016 14:34Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema, serikali ya Jamhuri ya Kongo ilishambulia kwa makusudi maeneo ya raia kusini mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua 30.
-
AI: Qatar inawatumia vibaya wafanyakazi katika ujenzi wa viwanja vya Kombe la Dunia 2022
Mar 31, 2016 08:06Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International kwa mara nyingine tena limezituhumu Qatar na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa kupuuza utumiwaji mbaya wa wafanyakazi katika ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022 huko nchini Qatar.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
Feb 25, 2016 06:59Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International (AI) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kutoweka matunda yote ya miaka 70 iliyopita katika uwanja wa haki za binadamu duniani.