Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha

  • HAMAS: Kuwa na silaha ni haki ya kisheria ya Muqawama na kuachana nazo ni jambo lisilowezekana

    HAMAS: Kuwa na silaha ni haki ya kisheria ya Muqawama na kuachana nazo ni jambo lisilowezekana

    Feb 25, 2025 09:46

    Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria matamshi yaliyonasibishwa na kiongozi mwandamizi wa harakati hiyo Musa Abu Marzouk na kusisitiza kwamba: "Hamas inaendelea kutumia silaha za Muqawama kama haki halali na ya kisheria na haitalegeza msimamo juu ya suala hilo".

  • Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Feb 18, 2025 13:41

    Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amesema, Umoja wa Ulaya haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani kuhusu Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Italia ANSA.

  • Malalamiko ya taasisi 75 za Marekani dhidi ya kupewa silaha utawala wa Kizayuni

    Malalamiko ya taasisi 75 za Marekani dhidi ya kupewa silaha utawala wa Kizayuni

    Jul 28, 2024 10:01

    Taasisi na mashirika 75 ya Marekani yametaka kusitishwa mara moja kutumwa silaha za nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS: Kauli ya Marekani ni uongo mtupu, Wapalestina Ghaza wanauawa kwa silaha zake

    HAMAS: Kauli ya Marekani ni uongo mtupu, Wapalestina Ghaza wanauawa kwa silaha zake

    Jul 26, 2024 12:59

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "Madai ya Washington kwamba inatiwa wasiwasi na hali ya kibinadamu na inasikitishwa na machungu na mateso wanayopata watu wa Ghaza ni uongo wa Kimarekani".

  • Watu 6 wauawa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani

    Watu 6 wauawa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani

    Jun 26, 2024 07:12

    Takriban watu 6 wameuawa kwa kupigwa risasi huko Las Vegas, Nevada, huko Marekani akiwemo mshukiwa.

  • Mamia ya mashirika na taasisi za kutetea haki za binadamu zataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Israel

    Mamia ya mashirika na taasisi za kutetea haki za binadamu zataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Israel

    Apr 13, 2024 02:45

    Zaidi ya mashirika na taasisi 250 za kutetea haki za binadamu kutoka nchi tofauti za dunia zimetoa wito wa kusimamisha upelekaji silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Marekani yafanya kimya kimya mauzo 100 ya silaha kwa Israel

    Marekani yafanya kimya kimya mauzo 100 ya silaha kwa Israel

    Mar 08, 2024 03:40

    Ripoti mpya imefichua kuwa, Marekani imeidhinisha kimya kimya mauzo 100 ya silaha kwa Israel tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza Oktoba 7, 2023.

  • Waingereza waitaka London iache kuipa silaha Israel

    Waingereza waitaka London iache kuipa silaha Israel

    Feb 28, 2024 06:48

    Wanaharakati wa haki nchini Uingereza wamefanya maandamano makubwa ya kuitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mauzo ya silaha kwa utawala haramu wa Israel.

  • OIC yaziomba nchi zote duniani zisiuuzie silaha utawala wa Kizayuni wa Israel

    OIC yaziomba nchi zote duniani zisiuuzie silaha utawala wa Kizayuni wa Israel

    Feb 27, 2024 11:20

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amezitaka nchi zote duniani kuacha kutuma silaha na zana za kijeshi kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.

  • Mashirika ya kiraia Uhispania yataka kusitishwa biashara ya silaha na Israel

    Mashirika ya kiraia Uhispania yataka kusitishwa biashara ya silaha na Israel

    Dec 21, 2023 11:23

    Wanaharakati kutoka mamia ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Uhispania wamefanya maandamano na kukusanyika nje ya Bunge la nchi hiyo wakiitaka serikali yao isimamishe bishara ya silaha na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS