-
Ndege isiyo na rubani ya Karrar yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran
Sep 04, 2023 04:13Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa ndege za ujasusi za Marekani na ndege nyingine za kigeni na kuzitaka kuwa mbali na anga ya Iran.
-
Jarida la Wall Street: Imarati imetuma silaha kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko Sudan
Aug 11, 2023 07:56Jarida la Kimarekani la Wall Street Journal limefichua katika ripoti yake kwamba Umoja wa Falme za Kiarabu unatoa misaada ya kijeshi kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), vinavyopigana na jeshi la Sudan kwa miezi kadhaa sasa.
-
Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine
Jul 09, 2023 10:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.
-
Kampuni za silaha za US zashtakiwa kwa jinai za kivita Yemen
Mar 09, 2023 02:34Mashirika ya kuzalisha silaha ya Marekani yamefunguliwa mashitaka yakituhumiwa kusaidia na kuwa 'mshiriki' wa jinai za kivita nchini Yemen.
-
Nchi 90 zinataka kupokea ndege zisizo na rubani (droni) za Iran
Feb 09, 2023 13:18Mshauri wa Waziri wa Intelijensia wa Iran amesema nchi zipatazo 90 duniani zina hamu ya kupokea ndege zisizo na rubani (droni) za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel
Feb 04, 2023 03:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi ghalati ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyedai katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuwa, eti Paris inatiwa wasiwasi na shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Uingereza yakiri, silaha zinazopelekwa Ukraine kutwaliwa na magaidi
Nov 21, 2022 11:02Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kitaifa wa Jinai nchini Uingereza (NCA) amesema silaha zinazopelekwa Ukraine na nchi za Magharibi yumkini zikafanyiwa magendo na kuishia mikononi mwa magenge ya wahalifu na magaidi katika kona mbalimbali za dunia.
-
Mauzo ya silaha za Marekani yaongezeka katika utawala wa Biden
Sep 10, 2022 02:23Marekani imeendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya masuala ya kijeshi, huku mauzo ya silaha za nchi hiyo yakiongezeka mno katika utawala wa Rais Joe Biden.
-
Kupamba moto vita vya nishati barani Ulaya
Sep 02, 2022 02:27Suala la kudhaminiwa mahitaji ya gesi kwa nchi za Ulaya sasa limekuwa tatizo sugu kwa nchi hizo. Nchi za Ulaya, ambazo ziliamua kuiwekea Russia vikwazo vya kila aina ili kuishinikiza katika vita vya Ukraine, sasa zinaituhumu Moscow kwamba inaitumia gesi kama silaha ya vita.
-
Maandamano makubwa kila pembe ya Marekani na mwito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kudhibiti silaha moto
Jun 13, 2022 07:02Ongezeko kubwa la matukio ya ufyatuaji risasi dhidi ya halaiki nchini Marekani na kuongezeka pia idadi ya watu wanaouawa kwa mashambulio ya utumiaji wa silaha hizo kunakotokana na upuuzaji wa viongozi wa White House na mashinikizo ya lobi za watengezaji silaha, vimeibua wimbi kubwa la maandamano ya malalamiko ya raia wa nchi hiyo.