-
Wasiwasi wa Daesh kupata silaha za kemikali
Apr 25, 2016 22:05Jumuiya ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) imetahadharisha kwamba kuna uwezekano kundi la kigaidi la Daesh likawa na silaha za kemikali.
-
Daesh yaua makumi kwa gesi ya sumu huko Sheikh Maqsood
Apr 08, 2016 00:16Watu wasiopungua 23 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio la silaha za kemikali lililofanywa na magaidi wa kundi la Daesh dhidi ya wapiganaji a Kikurdi wa People's Protection Units (YPG) karibu na mji wa Aleppo nchini Syria.
-
Daesh watumia silaha za kemikali dhidi ya uwanja wa ndege Syria
Apr 05, 2016 02:57Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi mashariki mwa Syia, kwa silaha za kemikali.