-
Tahadhari ya UN kuhusu kusitishwa misaada ya kibinadamu Somalia
Jul 25, 2022 06:40Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kuhusu kusimamishwa misaada ya kibinadamu nchini Somalia.
-
Marais wa EAC wajadili soko la pamoja Arusha, Somalia yataka uanachama
Jul 22, 2022 03:32Viongozi wa wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), wameashiria miaka 11 tangu kuanzishwa kwa itifaki ya soko la pamoja na kusisitiza kuwa, kumekuwa na mafanikio makubwa ikiwepo kuongezeka kwa biashara, mitaji na ajira kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika na Mashariki.
-
Al-Shabaab yaua watu 17 katika shambulio karibu na Ethiopia
Jul 21, 2022 22:42Kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia limefanya shambulio nadra karibu na nchi jirani ya Ethiopia, lililopelekea kuuawa watu wasiopungua 17, wakiwemo raia watatu.
-
AU yatuma askari polisi wapya 160 wa Nigeria huko nchini Somalia
Jul 15, 2022 22:16Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimepokea askari polisi 160 kutoka Nigeria, watakaikisaidia katika jitihada za kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab
Jul 07, 2022 21:38Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema, kuhitimisha uasi wa utumiaji silaha unaofanywa na kundi la Ash-Shabaab unahitaji mbinu nyingine kuliko ya kijeshi na kwa hivyo utakapofika wakati mwafaka, serikali yake itafanya mazungumzo na kundi hilo lenye misimamo ya kufurutu ada.
-
UN: Utapiamlo umeua watoto 200 nchini Somalia
Jul 06, 2022 01:46Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema kwa akali watoto 200 wamepoteza maisha nchini Somalia kutokana na utapiamlo.
-
Ripoti: Nusu ya watu wa Somalia wanahitaji msaada wa haraka wa chakula
Jul 04, 2022 06:28Maeneo ya kandokando ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yamekumbwa na wimbi kubwa la wakimbizi wanaolazimika kukimbia makazi yao kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame mkubwa huko kusini na magharibi mwa Somalia.
-
Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati
Jun 25, 2022 07:21Rais wa Somalia amesema amejiweka karantini baada ya kugundua kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
-
Watu 200,000 wapo katika hatari ya kufa njaa nchini Somalia
Jun 07, 2022 03:32Taasisi za Umoja wa Mataifa zimesema karibu robo milioni ya wananchi wa Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na baa la njaa lililosababishwa na ukame na mfumko wa bei za bidhaa kote duniani.
-
Watoto laki 3 kufariki Somalia iwapo misaada haitawafikia haraka
Jun 01, 2022 05:51Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa watoto zaidi ya 370,000 watapoteza maisha ifikapo mwisho wa mwezi huu wa Juni iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa kuwafikishia misaada ya dharura.