-
Marais wa Kenya na Somalia waafiki uchunguzi wa pamoja kuhusu ajali ya ndege
May 06, 2020 06:52Marais wa Kenya na Somalia wamekubaliana kufanya uchunguzi wa pamoja kuhusu ajali ya ndege iliyotokea Jumatatu eneo la Bay nchini Somalia na kusababisha vifo vya watu sita.
-
Kenya yaitaka Somalia ichunguze 'kuanguka' ndege ya misaada ya corona
May 05, 2020 23:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya imetaka uchunguzi wa haraka ufanyike baada ya ndege iliyobeba misaada ya kukabiliana na corona kuanguka kusini mwa Somalia, na watu wote sita waliokuwa ndani yake kufariki.
-
Ndege iliyobeba vifaa vya kupambana na corona yaanguka na kuua Somalia
May 05, 2020 03:33Watu sita wameaga dunia katika ajali ya ndege ya mizigo iliyokuwa imebeba misaada na vifaa vya kupambana na janga la corona katika mji wa Bardale, kusini mwa eneo la Bay nchini Somalia.
-
Meya wa Mogadishu atilia shaka takwimu 'rasmi' za Corona Somalia
May 03, 2020 03:44Meya wa Mogadishu amesema yumkini ugonjwa wa Covid-19 (Corona) umeua watu zaidi ya 500 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita katika mji mkuu huo wa Somalia pekee.
-
Marekani yakiri: Ni kweli tumeua raia katika shambulizi la anga Somalia
Apr 28, 2020 02:49Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika AFRICOM imekiri kuwa raia wawili wa Somalia waliuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika hujuma yake ya anga mapema mwaka jana.
-
Corona yaua mtu mmoja Somalia, Ethiopia yatangaza hali ya hatari
Apr 09, 2020 03:52Somalia jana Jumatano iliripoti kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vya corona, huku idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo wa Covid-19 nchini humo ikiongezeka.
-
Ripoti: Mapigano ya kikoo yameua watu 70 Somalia
Apr 07, 2020 03:18Kwa akali watu 70 wameuawa katika mizozo na mapigano ya kikoo nchini Somalia tokea Disemba mwaka jana 2019 hadi sasa.
-
Kenya, Somalia zawaachilia huru wafungwa ili kuzuia kuenea corona
Apr 03, 2020 02:22Kenya na Somalia zimetangaza kuwaachilia huru wafungwa wa makosa madogo madogo ikiwa ni katika jitihada za kupunguza msongamano katika magereza katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19.
-
Marekani yaendelea kuua raia katika mashambulizi yake ya anga Somalia
Apr 01, 2020 21:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la Marekani linaendelea kuua raia wasio na hatia katika mashambulizi yake ya anga nchini Somalia.
-
Al Shabab yatangaza kuhusika na shambulio lililoua mtu mmoja na kujeruhi wanne Somalia
Mar 30, 2020 06:47Genge la kigaidi na ukufurishaji la al Shabab limetangaza kuhusika na shambulio lililopelekea mtu mmoja kuuawa na wengine wanne kujeruhiwa jana Jumapili. Gavana wa eneo moja ni miongoni mwa waliojeruhiwa katika shambulio hilo la kigaidi.