-
Jeshi la Somalia lawaua magaidi 142 wa kundi la Al-Shabab, lakomboa Janale
Mar 30, 2020 03:40Jeshi la Somalia (SNA) limetangaza kuwa limewaua magaidi wakufurishaji wapatao142 wa kundi la al-Shabaab, kuwajeruhi 29 na wengine 18 wamekamatwa kwenye operesheni iliyofanyika katika mji wa Janale, kusini mwa Somalia.
-
Al-Shabaab waibuka na jipya, wadai askari wa AU wanaeneza Corona Somalia
Mar 29, 2020 03:37Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia limekataa mwito wa kusitisha vita wakati huu wa kukabiliana na janga la Covid-19, huku likiwalaumu askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini humo (Amisom) kwa kueneza virusi vya Corona.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi 12 wa al-Shabaab kusini mwa Somalia
Mar 27, 2020 03:30Wanachama 12 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Bay, kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kundi la al-Shabaab laendelea kupata pigo nchini Somalia
Mar 17, 2020 04:29Jeshi la Somalia likishirikiana na askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini humo (Amisom) limefanikiwa kuukomboa mji wa kistrataji wa Janale ulioko kwenye eneo la Lower Shabelle, kusini mwa Somalia.
-
Virusi vya Corona vyaendelea kusambaa kwa kasi barani Afrika
Mar 17, 2020 04:27Somalia, Benin na Liberia ni nchi za hivi karibuni kabisa kuripoti kesi za ugonjwa wa Corona (Covid-19) barani Afrika, huku virusi hivyo vikiendelea kusambaa kwa kasi katika nchi za bara hilo.
-
Shambulio la anga la Marekani laua watu 6 nchini Somalia
Mar 12, 2020 04:28Watu sita wasio na hatia wameuawa nchini Somalia baada ya basi lao kushambuliwa na ndege zisizo na rubani (drone) za Marekani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyoathiriwa vibaya na vita.
-
Meneja wa kampuni kubwa Somalia auawa katika shambulio la droni la Marekani
Mar 01, 2020 08:34Meneja wa shirika kubwa zaidi la mawasiliano nchini Somalia ameuawa katika shambulio la droni (ndege zisizo na rubani) za Marekani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Marekani na al-Shabaab zalaumiana kuhusu mauaji ya raia Somalia
Mar 01, 2020 04:44Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limesema zaidi ya asilimia 80 ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na Marekani nchini Somalia yanalenga raia wasio na hatia.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia na Somalia
Feb 29, 2020 10:02Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika jimbo la Gambella, magharibi mwa Ethiopia.
-
Jeshi la Somalia lapambana na wanamgambo wa Ahlu Sunnah Wal Jama’a (ASWJ)
Feb 28, 2020 09:39Jeshi la Somalia mapema leo Ijumaa limepambana na wanamgambo wa kundi moja la kikanda katika kile kinachotajwa na Wasomali kuwa ni mapigano makali zaidi baada ya misuguano ya kisiasa inayoendelea kuikwamisha nchi hiyo katika dimbwi la ghasia na machafuko.