-
Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Somalia washirikiane
Feb 25, 2020 04:21Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia ametoa mwito kwa viongozi wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufanya kazi bega kwa bega na kuwa na ushirikiano wa karibu kwa lengo la kuhakikisha kuwa amani na uthabiti vinarejea nchini humo.
-
Magaidi wa Al Shabab washambulia vituo viwili vya kijeshi Somalia
Feb 20, 2020 09:39Magaidi wa kundi la Al Shabab wametekeleza mashambulizi dhidi ya vituo viwli vya Jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle na kuua askari wasiopungua wanne.
-
Amnesty yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya waandishi wa habari nchini Somalia
Feb 15, 2020 23:23Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa anga ya machafuko na ukatili inayotawala nchini Somalia inawafanya waandishi habari waishi katika hali ya woga na wahka.
-
Ripoti: Makumi waliuawa mwaka jana katika hujuma za al-Shabaab Kenya
Feb 07, 2020 23:27Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Haki za Binadamu na Sera umebainisha kuwa, watu wasiopungua 83 waliuawa nchini Kenya mwaka uliopita wa 2019 katika mashambulizi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye makao makuu yake katika nchi jirani ya Somalia.
-
Shambulio la nzige Afrika, Somalia yatangaza janga la taifa
Feb 02, 2020 23:37Somalia imekuwa nchi ya kwanza ya Pembe ya Afrika kutangaza kuwa, wimbi la nzige waliovamia nchi hiyo ni janga na kwamba kupambana na janga hilo ni jambo la dharura kitaifa.
-
UN: Somalia inahitaji msaada wa kibinadamu wa dola bilioni moja mwaka 2020
Jan 23, 2020 08:15Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, Somalia inahitaji msaada wa zaidi ya dola bilioni moja kwa ajili ya huduma za kibinadamu katika mwaka wa 2020.
-
Shambulizi la bomu laua na kujeruhi watu 14 nchini Somalia
Jan 19, 2020 04:33Mripuko wa bomu uliolenga wafanyakazi wa mradi wa ujenzi wa Kituruki nchini Somalia umeua watu watatu na kujeruhi wengine 11.
-
Jeshi la Somalia lazima shambulizi la al-Shabaab karibu na Mogadishu
Jan 18, 2020 04:40Vikosi vya jeshi la Somalia vimefanikiwa kuzima shambulizi la usiku wa kuamkia leo la kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Ripoti: Waislamu, wahanga wakuu wa mashambulio ya al-Shabaab
Jan 17, 2020 04:06Uchunguzi uliofanywa na shirika moja lisilo la kiserikali umefichua kuwa, Waislamu ndio wahanga wakuu wa mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia, licha ya genge hilo kudai kuwa haliwalengi Waislamu na Wasomali katika hujuma zao.
-
UN: Mazungumzo ya amani Somalia ni ishara nzuri
Jan 09, 2020 21:05Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia ambaye pia ni mkuu wa mpango wa umoja huo nchini humo UNSOM jana aliliutembelea mji wa Hargesa, makao makuu ya eneo lililojitangazia uhuru la Somaliland nchini Somalia na kukutana na viongozi wa eneo hilo kujadili uchaguzi na maendeleo.