-
Magaidi 33 wa kundi la al-Shabab waangamizwa nchini Somalia
Jan 04, 2020 10:04Wanamgambo wasiopungua 33 wa kundi la kigaidi la al-Shabab wameangamizwa katika operesheni mbili tofauti za jeshi kusini magharibi mwa Somalia.
-
Al-Qaeda yakiri kuhusika na shambulizi la bomu lililoua 90 Somalia
Dec 31, 2019 04:08Kundi la kigaidi la al-Shabaab lililojitangaza kuwa ni sehemu ya mtandao wa kigaidi wa al-Qaida limekiri kuhusika na shambulizi la bomu lililotokea mwishoni mwa wiki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Baraza la Usalama la UN lalaani mripuko wa Mogadishu, Somalia
Dec 30, 2019 23:15Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mripuko wa kigaidi uliotokea katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kudhibiti kambi ya jeshi Somalia
Dec 24, 2019 08:40Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano makali baina ya askari wa Jeshi la Taifa la Somalia na wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na mji wa Baidoa, kusini magharibi mwa Somalia.
-
Jeshi la Somalia lazima shambulizi la al Shabab dhidi ya Ikulu ya Rais mjini Mogadishu
Dec 11, 2019 03:21Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, limewaangamiza wapiganaji 5 wa kundi la kigaidi la al Shabab waliojaribu kuingia na kuhujumu Ikulu ya Rais na hoteli moja iliyoko karibu na eneo hilo mjini Mogadishu.
-
Jubaland: Majeshi ya Ethiopia na Somalia yanataka kumpindua Rais Madobe
Nov 17, 2019 04:16Serikali ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Jubaland, Kusini mwa Somalia imedai kuwa wanajeshi wa Ethiopia wanakula njama za kumpindua Rais Ahmed Madobe wa jimbo hilo.
-
OCHA: Mafuriko yameua watu 17 Somalia, 370,000 waachwa bila makazi
Nov 06, 2019 21:44Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu (OCHA) imesema watu wasiopungua 17 wameaga dunia baada ya kusombwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Somalia.
-
UN yatuma misaada kufuatia maafa ya mafuriko nchini Somalia
Nov 03, 2019 09:12Umoja wa Mataifa umetuma misaada ya dharura nchini Somalia kufuatia mvua kubwa ambazo zimenyesha katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na kusababisha mafuriko.
-
UN: Nchi za Pembe ya Afrika zinahitaji misaada baada ya mafuriko
Oct 30, 2019 08:12Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mengi ya nchi za Pembe ya Afrika katika miezi michache iliyopita zimesababisha mafuriko na mahitaji ya misaada ya kibinadamu hususan nchini Ethiopia, Sudan Kusini na Somalia.
-
Athari za mvua Somalia, watu 15 wahofiwa kufa maji katika ajali ya boti
Oct 29, 2019 04:25Kwa akali watu 15 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya kuzama boti katika mji wa Beledweyn katikati ya Somalia, huku athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika zikiendelea kushuhudiwa.