-
Al-Shabaab yateka mji wa kistratajia karibu na Mogadishu
Oct 15, 2019 23:25Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab la Somalia limeteka mji wa kistratajia ulioko karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Al-Shabaab yadai kuua watu 6 katika shambulizi la bomu Mogadishu
Oct 14, 2019 04:28Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwa limeua watu sita katika shambulizi la bomu lililolenga ofisi kuu za Kikosi cha Pamoja cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) zilizoko mjini Mogadishu.
-
ICJ kuangalia upya ombi la Kenya juu ya mzozo wa mpaka wa bahari na Somalia
Oct 05, 2019 23:21Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) inatazamiwa wiki ijayo kuangalia upya ombi la Kenya la kutaka kuakhirishwa kwa muda wa mwaka mmoja kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Somalia.
-
Amnesty: Marekani inaua raia katika mashambulizi ya anga Somalia
Oct 01, 2019 04:34Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la Marekani limeua raia wasio na hatia katika moja ya mashambulizi yake ya anga nchini Somalia.
-
Kikao cha AU, UN kuhusu vita dhidi ya ugaidi Somalia
Sep 30, 2019 23:19Maafisa wa ngazi za juu wa Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM na Umoja wa Mataifa wamekutana Jumatatu mjini Mogadishu ili kubaini ramani ya njia ya kurefusha muda wa shughuli na operesheni za AMISOM kutoka mwaka 2019 hadi 2021.
-
Kituo cha jeshi cha Marekani na msafara wa askari wa Italia washambuliwa Somalia; Al Shabab latangaza kuhusika
Sep 30, 2019 10:03Mashambulio mawili tofauti yamelenga kituo cha jeshi cha Marekani kilichoko kwenye mji wa Baledogle na msafara wa askari wa Italia katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Magaidi 30 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia, Lower Shabelle
Sep 26, 2019 08:48Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle, kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Wanachama wa al-Shabaab wakamatwa wakipanga mashambulizi Ethiopia
Sep 22, 2019 04:15Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wakila njama za kutekeleza mashambulizi katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Mateka Muirani aachiwa huru na maharamia wa Somalia
Sep 22, 2019 04:11Raia wa Iran ambaye amekuwa akishikiliwa mateka na maharamia wa Somalia kwa miaka kadhaa sasa hatimaye ameachiwa huru.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la bomu Somalia
Sep 19, 2019 09:11Watu watatu wamethibitishwa kupoteza maisha katika shambulizi la bomu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.