-
Magaidi 30 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia, Lower Shabelle
Sep 26, 2019 08:48Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle, kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Wanachama wa al-Shabaab wakamatwa wakipanga mashambulizi Ethiopia
Sep 22, 2019 04:15Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wakila njama za kutekeleza mashambulizi katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Mateka Muirani aachiwa huru na maharamia wa Somalia
Sep 22, 2019 04:11Raia wa Iran ambaye amekuwa akishikiliwa mateka na maharamia wa Somalia kwa miaka kadhaa sasa hatimaye ameachiwa huru.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la bomu Somalia
Sep 19, 2019 09:11Watu watatu wamethibitishwa kupoteza maisha katika shambulizi la bomu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Rais wa Burundi akabiliwa na tuhuma za kukiuka haki za binadamu
Sep 18, 2019 23:48Kamati ya Umoja wa Mataifa inayochunguza matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi imetangaza kuwa, Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza amekuwa akihusika katika vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo.
-
AU yalaani mauaji ya askari wa Burundi nchini Somalia
Sep 17, 2019 22:09Umoja wa Afrika umelaani shambulizi la kigaidi dhidi ya askari wa kulinda amani wa Burundi waliokuwa wanahudumu chini ya mwavuli wa Kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (Amisom).
-
Somalia yavunja majaribio mawili ya kutaka kumuua Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Sep 15, 2019 07:57Waziri Mkuu wa Somalia ameokoka katika majaribio mawili ya kutaka kumuua, majaribio ambayo genge la kigaidi la al Shabab limetangaza kuhusika nayo.
-
Somaliland yasimamisha ujenzi wa kituo cha kijeshi cha Imarati
Sep 15, 2019 03:13Serikali ya eneo lenye utawala wa ndani la Somaliland nchini Somalia limesimamisha ujenzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kituo chake cha kijeshi katika bandari ya Berbera.
-
UN: Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa
Sep 13, 2019 22:38Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, zaidi ya Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa iwapo hawatapata misaada ya haraka wakati huu ambapo nchi za Pembe ya Afrika zinaposumbuliwa na ukame mkubwa ambao haujawahi kushuhudiwa eneo hilo tangu mwaka 2011.
-
ICJ yaakhirisha kesi ya mzozo wa Kenya na Somalia kuhusu mpaka wa bahari
Sep 06, 2019 08:05Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imeahirisha kwa muda wa miezi miwili kusikilizwa kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya Somalia na Kenya.