-
Mavuno mabaya zaidi Somalia tangu 2011, watu milioni 6 wakabiliwa na njaa
Sep 05, 2019 00:05Mavuno ya nafaka nchini Somalia mwaka huu wa 2019 yamekuwa ni ya kiwango cha chini zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini humo tangu mwaka 2011, na hivyo kupelekea watu milioni 6.3 kuhitajia msaada wa dharura wa chakula.
-
Wanawake wa Somalia wahamasishwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa 2020/2021
Aug 31, 2019 22:13Watendaji wa vyombo vya habari vya Somalia na wanaharakati wa haki za binadamu wamekubaliana kufanya kampeni ya kuhamasisha umma juu ya ushiriki wa wanawake katika mchakato wa uchaguzi wa 2020/2021.
-
Al Shabab 18 wauawa nchini Somalia
Aug 26, 2019 02:25Wanachama 18 wa kundi la kigaidi la al Shabab nchini Somalia wakiwemo makamanda wawili wa kundi hilo wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la nchi hiyo.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu mgogoro wa kibinadamu Somalia
Aug 22, 2019 21:58Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia ameeleza wasiwasi wake kuhusiana na ongezeko la mgogoro wa kibinadamu katika nchi hiyo na Kiafrika.
-
Jamii ya Kimataifa yataka uchaguzi Jubaland, Somalia uwe wa Amani
Aug 17, 2019 21:53Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa zimetoa wito wa kufanyika uchaguzi wa amani na wa haki huko Jubaland, Kusini mwa Somalia, wakisema uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 24 ni muhimu kwa utulivu katika nchi hiyo.
-
AU: Kupungua kwa maelewano ya kijamii ni chanzo cha hali mbaya ya kibinadamu Somalia
Aug 13, 2019 02:51Umoja wa Afrika umesema, kupungua kwa masikilizano kati ya jamii kunachangia katika hali mbaya ya kibinadamu katika maeneo mbalimbali nchini Somalia.
-
Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki
Aug 13, 2019 02:59Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.
-
Watu 17 wauawa katika mripuko wa bomu Somalia, Al Shabaab latangaza kuhusika
Jul 23, 2019 03:06Watu wasiopungua 17 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa nchini Somalia wakati bomu liliporipuka nje ya hoteli moja karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa ulioko kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Kenya: Mgogoro wa mpaka wa baharini kati yetu na Somalia utatuliwe kwa mazungumzo
Jul 20, 2019 05:00Serikali ya Kenya inaendelea kusisitiza kuwa, nchi jirani ya Somalia inapaswa kuheshimu mamlaka ya ardhi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki, huku Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ ikitazamiwa kutoa hukumu mwezi Septemba mwaka huu, juu ya mvutano wa mpaka wa baharini kati ya nchi mbili hizo.
-
Wanamgambo 15 wa kundi la kigaidi la al-Shabab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jul 15, 2019 03:18Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, limewaangamiza wanachama 15 wa kundi la kigaidi la al-Shabab katika operesheni ya jeshi hilo katika siku za hivi karibuni.