-
Somalia yakata uhusiano na Guinea, yaituhumu Conakry kuingilia masuala yake ya ndani
Jul 05, 2019 10:44Serikali ya Somalia imekata uhusiano wake wote wa kidiplomasia na Guinea Conakry na kuituhumu nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Al-Shabaab yawachinja 'majasusi' 5, akiwemo ajenti wa CIA
Jul 04, 2019 09:07Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limewaua kwa kuwakata vichwa watu watano wanaoshukiwa kuwa majasusi, kusini mwa Somalia.
-
Mjumbe mpya wa UN Somalia apongeza vikosi vya AMISOM
Jun 26, 2019 21:53Mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia James Swan amepongeza mchango uliotolewa na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kutokana na juhudi zinazoendelea kuituliza Somalia.
-
Al-Shabaab: Tumehusika na mashambulizi ya Kenya na Somalia yaliyoua 16
Jun 15, 2019 22:52Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limetangaza kuwa limehusika na miripuko ya mabomu iliyoua watu 16 hapo jana Jumamosi katika nchi za Kenya na Somalia.
-
Magaidi wa al-Shabaab wateka mji muhimu katika eneo la Puntland, Somalia
Jun 10, 2019 03:40Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab la Somalia limeteka mji mdogo lakini wa kistratajia ulioko kaskazini mashariki mwa eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland.
-
Askari wa AMISOM Somalia wagawa chakula siku kuu ya Idul Fitr
Jun 05, 2019 22:05Kikosi cha kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimesema askari wake wameimarisha shughuli za kibinadamu zinazolenga kuboresha maisha ya Wasomali.
-
Mvua na mafuriko yaua watu 9 Puntland, Somalia
Jun 03, 2019 06:02Kwa akali watu tisa wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Magaidi wa Al Shabab wahujumu kituo cha jeshi la Somalia
May 27, 2019 22:42Kundi la kigaidi la Al Shabab limeshambulia kituo cha jeshi la Somalia katika eneo la kusini mwa nchi hiyo ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa.
-
Kenya na Somalia zaendelea kuvutana, Mogadishu yafuta mikutano ya Nairobi
May 27, 2019 02:51Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kushtadi mvutano kati ya Kenya na Somalia, serikali ya Mogadishu imejibu mapigo na kufuta mikutano yake iliyotazamiwa kufanyika jijini Nairobi.
-
Kenya yasema haina mvutano wa kidiplomasia na Somalia
May 24, 2019 02:47Serikali ya Kenya imekanusha tetesi kuwa kuna mvutano wa kidiplomasia na nchi jirani ya Somalia.