Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • UN yahitaji zaidi  ya dola milioni 700 kuwasaidia Wasomali wanaokumbwa na njaa

    UN yahitaji zaidi ya dola milioni 700 kuwasaidia Wasomali wanaokumbwa na njaa

    May 22, 2019 23:28

    Mashirika ya misaada ya kibinadamu yamezindua ombi la kukabiliana na ukame la dola milioni 710 kwa ajili ya msaada wa dharura wa kuwasaidia watu milioni 4.5 wanaothriwa na ukame nchini Somalia kwa kipindi kinachoanzia sasa hadi mwezi Disemba.

  • UN: Somalia imepiga hatua, lakini ipambane na ugaidi na ufisadi

    UN: Somalia imepiga hatua, lakini ipambane na ugaidi na ufisadi

    May 21, 2019 23:09

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema Somalia imepiga hatua kuelekea katika uundwaji wa dola thabiti, lakini bado ina kibarua cha kupambana na ugaidi, misimamo mikali ya kuchupa mipaka na ufisadi.

  • Kamanda mwingine mwandamizi wa al-Shabaab ajisilimisha kwa serikali Somalia

    Kamanda mwingine mwandamizi wa al-Shabaab ajisilimisha kwa serikali Somalia

    May 20, 2019 02:50

    Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuparaganyika kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab, kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la ukufurishaji la Somalia amejisalimisha kwa serikali.

  • UN yatahadahrisha kuwa magaidi wa Al Shabab wamebadilisha mbinu

    UN yatahadahrisha kuwa magaidi wa Al Shabab wamebadilisha mbinu

    May 19, 2019 03:26

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa magaidi wa kundi la Al Shabab sasa wamebadilisha mbinu zao ili kuwawezesha kutekeleza mashambulizi mengi na hatari zaidi.

  • UN: Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na baa la njaa

    UN: Wasomali milioni mbili wanakabiliwa na baa la njaa

    May 16, 2019 05:24

    Ukame mkubwa unaoshuhudiwa nchini Somalia huenda ukasababisha njaa kwa watu milioni 2.2 ikiwa ni takriban asilimia 18 ya watu nchini humo katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba.

  • Watu kadhaa wahofiwa kuuawa katika mripuko wa bomu Somalia

    Watu kadhaa wahofiwa kuuawa katika mripuko wa bomu Somalia

    May 14, 2019 07:20

    Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini, nje ya jengo la serikali katika eneo lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Somalia yasambaratisha mtandao wa majasusi wa UAE

    Somalia yasambaratisha mtandao wa majasusi wa UAE

    May 11, 2019 08:25

    Wakuu wa Somalia wametangaza kuusambaratisha mtandao wa majasusi ambao walikuwa wakiutumikia utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

  • Jeshi la Somalia laua magaidi 18 wa al Shabaab

    Jeshi la Somalia laua magaidi 18 wa al Shabaab

    May 10, 2019 03:24

    Jeshi la Somalia limetangaza kuwaua magaidi 18 wa al Shabaab katika mji wa Jilib uliopo mkoani Juba.

  • AMISOM yakanusha madai ya Al Shabab kuuteka mji wa kistratijia

    AMISOM yakanusha madai ya Al Shabab kuuteka mji wa kistratijia

    Apr 28, 2019 23:39

    Kikosi cha Kijeshi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kimekanusha habari kuwa kundi la kigaidi la al-Shabab limetwaa tena mji wa Sabiid kwenye wilaya ya kusini uliokombolewa hivi karibuni.

  • Kinara wa kundi la kigaidi la Al Shabab ajisalimisha kwa serikali ya Somalia

    Kinara wa kundi la kigaidi la Al Shabab ajisalimisha kwa serikali ya Somalia

    Apr 24, 2019 09:53

    Idara ya taifa ya ujasusi ya Somalia (NISA) imesema kinara wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la al-Shabaab Aden Abdi, anayejulikana pia kama Aden Obe, ameliasi kundi la al-Shabaab na kujiunga na upande wa serikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS