-
Somalia yasambaratisha mtandao wa majasusi wa UAE
May 11, 2019 08:25Wakuu wa Somalia wametangaza kuusambaratisha mtandao wa majasusi ambao walikuwa wakiutumikia utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Jeshi la Somalia laua magaidi 18 wa al Shabaab
May 10, 2019 03:24Jeshi la Somalia limetangaza kuwaua magaidi 18 wa al Shabaab katika mji wa Jilib uliopo mkoani Juba.
-
AMISOM yakanusha madai ya Al Shabab kuuteka mji wa kistratijia
Apr 28, 2019 23:39Kikosi cha Kijeshi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kimekanusha habari kuwa kundi la kigaidi la al-Shabab limetwaa tena mji wa Sabiid kwenye wilaya ya kusini uliokombolewa hivi karibuni.
-
Kinara wa kundi la kigaidi la Al Shabab ajisalimisha kwa serikali ya Somalia
Apr 24, 2019 09:53Idara ya taifa ya ujasusi ya Somalia (NISA) imesema kinara wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la al-Shabaab Aden Abdi, anayejulikana pia kama Aden Obe, ameliasi kundi la al-Shabaab na kujiunga na upande wa serikali.
-
Naibu mkuu wa ISIS eneo la Puntland, Somalia auawa katika shambulizi la anga
Apr 14, 2019 22:39Kamanda nambari mbili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) ameripotiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililofanyika katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Somalia yakumbwa na njaa, watu milioni 4.9 wanahitaji msaada
Apr 14, 2019 21:52Mamilioni ya watu nchini Somalia wanahitaji msaada wa chakula nchini Somalia kutokana na kiangazi nchini humo.
-
Marekani yasema huenda ikalazimika kubakia Somalia baada ya 2026
Apr 13, 2019 22:36Marekani imedai kuwa inatazamia kukamilisha operesheni zake nchini Somalia ndani ya miaka saba ijayo, lakini iwapo italazimu, vikosi vyake vitasalia nchini humo kwa muda zaidi.
-
Kenya na Somalia zasuluhisha mzozo wa kidiplomasia, zawarejesha mabalozi
Apr 04, 2019 03:36Kenya na Somalia zimesuluhisha mzozo wa kidiplomasia baina yao, uliochochewa na mgogoro kuhusu mpaka wa pamoja wa bahari.
-
Afisa wa serikali afukuzwa kazi kwa kutaka Somalia iwe na uhusiano na Israel
Apr 01, 2019 20:25Serikali ya Somalia imempiga kalamu nyekundu Mkurugenzi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo, kwa kutoa mwito wa kuwepo uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kiongozi mwandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabab ajisalimisha Somalia
Mar 31, 2019 22:25Kiongozi wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la Al Shabab amejisalimishwa kwa askari wa serikali ya Somalia katika mji wa Marka katika eneo la kusni mwa nchi hiyo la Lower Shabelle.