-
Wanajeshi wa Somalia wagoma kwa kutolipwa mishahara ya miezi minne
Mar 21, 2019 11:24Azma ya Somalia ya kusimamia usalama wake pasi na kutegemea uungaji mkono wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika (Amisom) imekumbwa na kizingiti, baada ya baadhi ya askari wa Somalia kufanya mgomo kulalamikia kutolipwa mishahara yao kwa miezi kadhaa sasa.
-
Amnesty International: Marekani inahusika katika kuwaua raia wa Somalia
Mar 21, 2019 00:17Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa, jeshi la Marekani linahusika katika mauaji ya raia wa Somalia kupitia mashambulizi yake ya ndege zisizo na rubani nchini humo.
-
Magaidi 19 wa al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia
Mar 14, 2019 10:40Wanachama wasiopungua 16 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameuawa katika makabiliano baina ya kundi hilo na vikosi vya usalama katika eneo la Bar Sanguni na Jamame mkoani Lower Juba, kusini mwa Somalia.
-
Mlipuko wa bomu waua watu wanane katika soko la mnada wa mifugo Somalia
Mar 14, 2019 04:37Kwa akali watu wanane wameuawa nchini Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika soko la kuuza na kununua mifugo kusini magharibi mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Wazazi wawarejesha vijana wao Somalia ili wasichomwe visu Uingereza
Mar 10, 2019 23:08Kutokana na kushtadi hujuma za visu nchini Uingereza, wazazi wa Kisomali wamewarejesha kwa wingi vijana wao nchini Somalia.
-
Timu ya AU-UN iko Somalia kutathmini kazi kikosi cha kulinda amani
Mar 09, 2019 21:48Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa (UN) uko nchini Somalia kutathmini hatua zilizochukuliwa katika utekelezaji wa Mpango wa Mpito wa Somalia ambao lengo lake kuu ni kuhamisha majukumu ya kulinda usalama kutoka Kikosi cha Askari wa Amani cha Umoja wa Afrika huko Somalia (AMISOM) na kuyakabidhi kwa Vikosi vya Kitaifa vya Usalama nchini Somalia.
-
Shambulizi la kigaidi karibu na Ikulu ya Rais laua watu kadhaa Somalia
Mar 08, 2019 04:24Kwa akali watu saba wameuawa huku wengine tisa wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu na hujuma ya ufayatuaji risasi iliyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Ethiopia yatumia diplomasia kuzipatanisha Kenya na Somalia
Mar 06, 2019 23:24Upatanishi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed katika mgogoro wa mpaka wa baharini kati ya Kenya na Somalia umezaa matunda kwa kiasi fulani, baada ya nchi mbili hizo jirani kuafikiana kupunguza taharuki iliyopo kati yao.
-
Rais wa Somalia: Vita dhidi ya ugaidi nchini haviishi karibuni
Mar 05, 2019 23:23Rais Mohammed Abdullahi Farmajo wa Somalia amekiri kuwa, vita dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab havitamalizika hivi karibuni, lakini akasisitiza kuwa genge hilo limedhoofishwa kwa kiasi kikubwa.
-
Al-Shabaab yateka mji Somalia baada ya Kenya kuondoa wanajeshi wake
Mar 03, 2019 04:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeuteka mji mmoja wa kistratajia ulioko kusini magharibi mwa Somalia, baada ya jeshi la Kenya KDF kuwaondoa wanajeshi wake waliokuwa wanaudhibiti mji huo.