-
Watu 6 wauawa katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia
Mar 01, 2019 04:35Watu wasiopungua sita wameuawa katika shambulizi la hujuma ya kigaidi kwenye mtaa wenye pilika nyingi wa Maka Al-Mukarama katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Shambulizi la anga la Marekani ladaiwa kuua 'magaidi' 35 Somalia
Feb 26, 2019 04:13Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) imedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 35 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.
-
Burundi inakataa kuondoa askari wake Somalia
Feb 20, 2019 04:40Marais wa Burundi na Somalia wameitisha kikao cha dharura cha nchi zenye askari katika Kikosi cha Umoja wa Afrika Somalia, AMISOM, kujadili agizo la kutaka askari 1,000 wa kulinda amani wa Burundi waondoke Somalia kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Februari.
-
Jamii ya kimataifa yatakiwa itatue mgogoro wa Kenya na Somalia kuhusu bahari
Feb 17, 2019 10:32Mwanasiasa wa ngazi za juu nchini Kenya Musalia Mudavadi ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kutatua mgogoro wa mpakani unaotokota baina ya Kenya na Somalia ili kuzuia hali kuwa mbaya zaidi.
-
Kenya na Somalia zaingia katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia + Sauti
Feb 17, 2019 04:44Kenya imemfukuza balozi wa Somalia mjini Nairobi huku ikimuita balozi wake wa Mogadishu nyumbani, ikiituhumu nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kuwa imepiga mnada maeneo yake yenye gesi na mafuta katika mipaka yao ya pamoja ya baharini.
-
Shambulizi la kigaidi laua askari kadhaa wa Ethiopia nchini Somalia
Feb 02, 2019 21:57Mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini umeua watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wa Ethiopia huko kusini mwa Somalia.
-
Watu wawili wafariki katika hujuma ya kigaidi Mogadishu
Jan 29, 2019 10:28Watu wasiopungua wawili wamefariki dunia baada ya gari lililotegwa bomu kulipuka katika kituo cha mafuta karibu na makao makuu ya ofisi za kanda ya Banadir, mjini Mogadishu, Somalia, mapema leo Jumanne.
-
Jeshi la Ethiopia lajiandaa kuadhibu vikali magaidi wa Al Shabab baada ya askari wake 50 kuuawa
Jan 20, 2019 10:35Jeshi la Ethiopia limetangaza kuwa linajiandaa kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya kundi la kigaidi la Al Shabab, baada ya kundi hilo kushambulia msafara wa magari ya jeshi la Ethiopia karibu na mji wa Burhakaba wa Somalia.
-
Magaidi 77 wa al-Shabaab wauawa kusini mwa Somalia
Jan 20, 2019 04:29Jeshi la Somalia limefanikiwa kuangamiza wanachama 77 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kusini mwa nchi hiyo ya Pemba ya Afrika.
-
Qatar yaipa Somalia msaada wa kijeshi, UAE yatengwa
Jan 18, 2019 04:04Qatar imeipa Somalia msaada wa kijeshi wa magari 68 ya deraya katika kile ambacho kimetajwa kuwa ni ishara ya kuongezeka ushawishi wa Qatar nchini humo.