-
UNHCR: Mgogoro mpya Sudan Kusini “umeng’oa” zaidi ya watu 165,000 ndani ya miezi mitatu
Jun 04, 2025 09:43Zaidi ya watu 165,000 wamelazimika kukimbia makazi yao na kukimbilia usalama wao maeneo mengi kutokana na mivutano na migogoro ambayo inazidi kuongezeka nchini Sudan Kusini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
UN: Wakimbizi milioni 4 wametoroka vita Sudan
Jun 04, 2025 02:38Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni 4 wamekimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan.
-
Je, waziri mkuu mpya anaweza kuiokoa Sudan kutokana na mzozo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi?
Jun 02, 2025 22:42Kamil Eltayeb Idris ameapishwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan mbele ya Abdel Fattah Al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Utawala na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Sudan.
-
Waziri Mkuu mpya wa Sudan avunja serikali ya mpito
Jun 02, 2025 03:12Waziri Mkuu mpya wa Sudan, Kamil Idris amevunja serikali ya mpito ya nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.
-
Waziri Mkuu mpya wa Sudan ala kiapo cha kikatiba
Jun 01, 2025 03:43Kamil Idris aliapishwa jana Jumamosi kuwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan, mbele ya Abdel Fattah al-Burhan, Mkuu wa Baraza la Mpito linalotawala nchini humo.
-
Kipindupindu chaua watu zaidi ya 170 ndani ya wiki moja Sudan
May 28, 2025 03:25Zaidi ya watu 170 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa kipindupindu ndani ya wiki moja katika nchi ya Sudan iliyogubikwa na mapigano kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
-
Sudan yagundua makaburi ya halaiki yenye mamia ya miili Omdurman
May 22, 2025 09:07Jeshi la Sudan limesema leo Alkhamisi kwamba, makaburi ya halaiki ya mamia ya raia yamegunduliwa katika mji wa Omdurman, kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.
-
Jeshi la Sudan: Tunakaribia kudhibiti tena Khartoum
May 20, 2025 22:56Jeshi la Sudan lilisema jana Jumanne kwamba, vikosi vyake vinakaribia "kusafisha kabisa" Jimbo la Khartoum toka mikononi mwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Jeshi la Sudan latwaa tena eneo la kimkakati Darfur Kaskazini kutoka kwa RSF
May 19, 2025 03:36Jeshi la Sudan limefanikiwa kutwaa tena udhibiti wa eneo muhimu la kistratajia la Attrun huko Darfur Kaskazini kutoka kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Kadhaa wauawa katika shambulio la droni kusini ya Sudan
May 16, 2025 03:36Watu kadhaa wameripotiwa kuuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa, baada ya ndege isiyo na rubani kushambulia hospitali moja katika mji wa El-Obeid, mji mkuu wa Jimbo la Kordofan Kaskazini kusini mwa Sudan jana Alkhamisi.