-
Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Nov 15, 2021 10:35Maandamano ya kupinga mapinduzi yaliyofanywa na Jeshi la Sudan dhidi ya serikali ya mpito ya nchi hiyo yangali yanaendelea huku wananchi wakitaka kurejeshwa madarakani serikali ya kiraia. Sambamba na hayo ripoti iliyotolewa Jumatatu na Tume ya Madaktari wa Sudan inasema idadi ya watu waliouawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi katika maandamano ya Jumamosi iliyopita imefikia watu 8.
-
Umoja wa Afrika kutuma mjumbe nchini Sudan kutafuta suluhisho la mgogoro wa kisiasa
Nov 14, 2021 23:18Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema umoja huo utatuma mjumbe nchini Sudan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la mgogoro wa kisaisa nchini humo.
-
5 wauawa katika maandamano dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Sudan
Nov 14, 2021 00:16Kwa akali watu watano wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi nchini Sudan.
-
Wananchi wa Sudan waandamana usiku wakipinga utawala wa kijeshi
Nov 13, 2021 00:50Wananchi wa Sudan wamefanya maandamano usiku wa kumkia leo wakilalamikia mapinduzi ya kijeshi ya nchi hiyo na hatua ya Jenerali Abdul-Fatah al-Burhan ya kuunda Baraza la Utawala.
-
Wanaharakati Sudan watangaza migomo, wakataa pendekezo la kugawana madaraka na jeshi
Nov 07, 2021 08:37Harakati inayoongoza maandamano ya upinzani nchini Sudan imetangaza migomo ya nchi nzima kwa muda wa siku mbili sambamba na kupinga juhudi zinazoungwa mkono kimataifa za kurejesha utaratibu wa kugawana madaraka na jeshi kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo mwishoni mwa mwezi uliopita.
-
Muungano wa Jumuiya za Wafanyakazi Sudan wataka kuanzishwa uasi wa kiraia nchini humo
Nov 05, 2021 08:44Muungano wa Jumuiya za Wafanyakazi nchini Sudan umewataka wananchi wa nchi hiyo kuanzisha uasi wa kiraia dhidi ya mapinduzi ya kijeshi.
-
Kiongozi wa kijeshi Sudan aamuru mawaziri 4 waliowekwa kizuizini wakati wa mapinduzi waachiwe huru
Nov 05, 2021 04:19Televisheni ya serikali ya Sudan imetangaza kuwa, Kiongozi wa kijeshi Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa amri ya kuachiwa huru mawaziri wanne wa kiraia waliowekwa kizuizini tangu alipoongoza mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea wiki iliyopita.
-
Jenerali al Burhan alitembelea Misri kwanza kabla ya kufanya mapinduzi Sudan
Nov 04, 2021 08:32Gazeti moja la nchini Marekani limefichua kuwa, kamanda wa jeshi la Sudan alitembelea Misri siku moja tu kabla ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi nchini Sudan.
-
Ujumbe wa Israel uliitembelea Sudan baada ya mapinduzi
Nov 03, 2021 04:13Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Watu watano wafariki dunia katika ajali ya ndege Sudan Kusini
Nov 03, 2021 00:04Watu watano wamefariki dunia katika ajali ya ndege ndogo ya mizigo ambayo ilianguka jana Jumanne, muda mfupi baada ya kuruka katika Uwanja wa Ndege wa Juba, nchini Sudan Kusini.