-
Kamanda wa Jeshi la Sudan amfuta kazi mwendesha mashtaka wa nchi hiyo
Nov 01, 2021 12:38Abdel Fattah al Burhan Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Sudan amemfuta kazi mwendesha mashtaka na mahakimu wengine saba wa nchi hiyo.
-
Kushadidi hali ya mgogoro huko Sudan
Oct 30, 2021 22:52Mgogoro nchini Sudan umezidi kuwa mkubwa. Wanajeshi wangali wanashikilia madaraka; na Abdel Fattah al Burhan Kamanda Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo ametangaza kuwa siku kadhaa zijazo atatangaza majina ya Waziri Mkuu Mpya na wajumbe wa Baraza la Uongozi. Hii ni katika hali ambayo wananchi wa Sudan wanaendelea kumiminika mitaani kupinga kuendelea wanajeshi kuiongoza nchi hiyo.
-
Maandamano ya wananchi dhidi ya mapinduzi ya kijeshi yanaendelea nchini Sudan
Oct 30, 2021 22:51Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameendelea kufanya maandamano katika miji ya Sudan na miji mingine 50 ya kona mbalimbali za dunia ili kutangaza upinzani wao dhidi ya mapinduzi ya kijeshi nchhini humo.
-
Saeed Khatibzadeh: Iran inafuatilia kwa makini matukio ya Sudan
Oct 30, 2021 09:03Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha matukio ya kutia shaka ya hivi karibuni nchini Sudan hayasaidii mchakato wa demokrasia katika nchi hiyo kusema kuwa, Tehran inafuatilia kwa umakini matukio hayo.
-
UN yataka kuachiwa huru maafisa wote wa serikali iliyopinduliwa ya Sudan
Oct 28, 2021 05:54Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan ameto wito wa kuachiwa huru maafisa wote wa serikali iliyopinduliwa hivi majuzi nchini humo.
-
Jenerali wa kijeshi wa Sudan awafuta kazi mabalozi sita wa nchi hiyo nje ya nchi
Oct 28, 2021 03:55Mkuu wa jeshi la Sudan, Jenerali Abdul Fattah al Burhan amewafuta kazi mabalozi sita wa nchi hiyo waliokuwa wanahudumu nje ya nchi.
-
Benki ya Dunia yasimamisha misaada yake kwa Sudan baada ya mapinduzi ya kijeshi
Oct 27, 2021 23:05Benki ya Dunia imeamua kusimamisha misaada yake kwa Sudan baada ya majenerali wa kijeshi kufanya mapinduzi na kuivunja serikali ya mpito iliyokuwa inawashirikisha pia raia.
-
Kuendelea mgogoro nchini Sudan baada ya kutozaa matunda kikao cha Baraza la Usalama
Oct 27, 2021 03:08Mgogoro wa kisiasa wa Sudan umezidi kuwa mkubwa baada ya majenerali wa kijeshi kufanya mapinduzi nchini humo. Maandamano ya wananchi yanaendelea huku ukandamizaji wa jeshi dhidi ya waandamanaji ukisababisha mauaji ya zaidi ya watu saba na wengine zaidi ya 140 kujeruhiwa.
-
Mapinduzi ya kijeshi na kuuzuliwa Waziri Mkuu; ishara ya kushadidi mgogoro wa kisiasa Sudan
Oct 26, 2021 03:10Baada ya kupita siku 33 tangu kutokea jarIbio la mapinduzi lililofeli nchini Sudan, mapinduzi mapya ya kijeshi yametokea katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Ghasia zashtadi Sudan, 7 wauawa huku 140 wakijeruhiwa; AU, UN na EU zatoa kauli
Oct 26, 2021 01:04Kwa akali watu saba wameuawa huku wengine zaidi ya 140 wakijeruhiwa katika makabiliano baina ya waandamanaji na maafisa usalama nchini Sudan.