-
Sudan yaunda timu maalumu ya kukabiliana na mgogoro wa hivi sasa nchini humo
Oct 19, 2021 23:15Serikali ya mpito ya Sudan imeunda timu maalumu ya kufuatilia na kutatua migogoro ya kisiasa na kurejesha utulivu wa kijamii nchini humo.
-
Vyama vya siasa nchini Sudan vyatishia kuanzisha uasi wa kiraia
Oct 19, 2021 04:12Jumla ya makundi 89 yanayojumuisha vyama, harakati, miungano na kamati za muqawama nchini Sudan yametishia kuanzisha uasi wa kiraia kwa madhumuni ya kukabiliana na mpango wa kuivunja serikali ya mpito ya nchi hiyo.
-
Kushtadi na kupamba moto mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Oct 18, 2021 05:13Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan umeshtadi na kuzidi kupamba moto kutokana na kushadidi na kuongezeka matatizo ya kiuchumi na vuta nikuvute za kisiasa katika nchi hiyo.
-
Hamdok: Sudan inasumbuliwa na mgogoro mbaya zaidi wa kipindi cha mpito
Oct 16, 2021 22:57Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok ameonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na "mgogoro mbaya zaidi" katika kipindi hiki cha serikali ya mpito iliyoundwa baada ya kuondolewa madarakani aliyekuwa mtawala wa muda mrefu wa Sudan, Omar al-Bashir zaidi ya miaka miwili iliyopita.
-
Israel yaingiwa na wasiwasi kuwa yamkini Sudan ikabatilisha mapatano ya ushusiano
Oct 16, 2021 03:45Gazeti la Kizayuni la Maariv limefichua kuwa, wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wana wasiwasi kuwa Sudan huenda ikajiondoa hatua kwa hatua katika mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo.
-
Maafisa kadhaa wa Sudan wapigwa marufuku kutoka nje ya nchi
Oct 13, 2021 04:30Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan Jenerali Abde Fattah el-Burhan amelitaka shirika kuu la intelijensia la nchi hiyo liwazuie maafisa kadhaa wa serikali wasisafiri kuelekea nje ya nchi.
-
Magaidi wanne wa ISIS wauawa nchini Sudan
Oct 05, 2021 07:16Shirika la kijasusi la Sudan limetoa taarifa na kusema kuwa, wanachama wanne wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameuawa nchini humo.
-
Maelfu waandamana Sudan; washinikiza utawala wa kiraia
Oct 01, 2021 04:14Maelfu ya wananchi wa Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum dhidi ya watawala wa kijeshi na kushinikiza kuundwa uongozi mpya wa kipindi cha mpito ambao utawajumuisha pakubwa raia.
-
Maajenti watano wa Intelijinsia Sudan wauawa katika mapigano na Daesh
Sep 29, 2021 04:33Idara ya Intelijinsia ya Sudan imetangaza kuwa maajenti wake watano wameuawa na mmoja kujeruhiwa katika shambulio la kuvizia lililoilenga seli ya kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la Jebra huko Khartoum mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Sudan: Hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wetu na Israel
Sep 27, 2021 09:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amesema kuwa, miezi 11 imepita tangu nchi yake itangaze kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel lakini hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wa pande mbili kama ambavyo hakuna pia mazungumzo yoyote rasmi baina yao.