-
Marufuku ya kupaa katika anga ya Qadarif nchini Sudan
Jan 15, 2021 03:35Maafisa wa Sudan wameanza kutekeleza sheria ya kuzuia ndege kupaa kwa masafa yaliyoainishwa katika anga ya mkoa wa Qadarif.
-
Wanamgambo wa Ethiopia waishambulia Sudan; watu kadhaa wauawa
Jan 12, 2021 10:13Raia kadhaa wameuawa na wengine hawajulikani walipo kufuatia shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa Kiethiopia huko Sudan.
-
Wakimbizi kutoka Ethiopia waendelea kumiminika Sudan
Jan 06, 2021 04:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR linaendelea kuandikisha wakimbizi wapya katika mpaka wa Sudan na Ethiopia ambapo takriban wakimbizi 800 wamevuka kutoka eneo la Tigray nchini Ethiopia na kuingia mashariki mwa Sudan katika siku chache za mwaka huu wa 2021.
-
UN, AU: Kikosi cha UNAMID kimetimiza majukumu Darfur, Sudan
Jan 01, 2021 23:15Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa wametoa shukrani zao za dhati kwa kikosi cha kulinda amani cha UNAMID kwa kumaliza kwa mafanikio oparesheni ya kulinda amani huko Darfur, Magharibi mwa Sudan.
-
Jeshi la Sudan ladhibiti maeneo mapya ya waasi katika mpaka na Ethiopia
Dec 30, 2020 21:02Jeshi la Sudan limedhibiti maeneo mapya yaliyokuwa yakishikiliwa na waasi katika mpaka wake na Ethiopia.
-
Wasudan waandamana kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanaharakati wa kisiasa
Dec 30, 2020 12:23Mamia ya wananchi wa Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu Khartoum na mji wa Omdourman kulalamikia kifo cha kutatanisha cha mwanaharakati mmoja wa kisiasa.
-
Waziri wa Habari wa Sudan: Kufanya mapatano na Israel hakutaleta amani na utulivu
Dec 29, 2020 04:29Waziri wa Habari wa Sudan amesema, ahadi ya kupata amani na utulivu nchi zilizofanya mapatano na utawala wa Kizayuni ni njozi tupu.
-
Viongozi katika jimbo la Darfur watoa radiamali kufuatia kushtadi mapigano magharibi mwa Sudan
Dec 28, 2020 23:32Viongozi wa kieneo katika jimbo la Darfur kusini huko Sudan wamesema kuwa wanajeshi kadhaa wametumwa katika eneo hilo ili kukabiliana na mapigano ya kikabila yaliyoshtadi huko magharibi mwa Sudan.
-
Jeshi la Ethiopia lalipiza kisasi, laua wabeba silaha 42 mpakani na Sudan
Dec 25, 2020 09:45Watu 42 waliokuwa wamebeba silaha wameuawa na wanajeshi wa Ethiopia katika eneo la Benishangul-Gumuz, magharibi mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, mpakani na Sudan.
-
Sudan imeyadhibiti maeneo yote ya mpaka wa pamoja na Ethiopia
Dec 22, 2020 03:48Jeshi la Sudan kwa mara nyingine tena limeyadhibiti maeneo yote ya mpaka wa pamoja na Ethiopia; ambayo miaka 25 iliyopita yalikuwa yakishikiliwa na makundi ya wanamgambo yanayoungwa mkono na Ethiopia.