-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa apongeza kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Sudan Kusini
Apr 29, 2016 23:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kuundwa serikali ya عmoja wa نitaifa nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kuliapisha baraza jipya la mawaziri na kuzitaka pande husika zikamilishe hatua zote za kuunda taasisi za serikali hiyo ya mpito.
-
Misri yapongeza hatua ya Machar kurejea Juba kuunda serikali
Apr 28, 2016 23:39Serikali ya Misri imepongeza hatua ya Riek Machar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini kurejea mjini Juba kwa ajili ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na hasimu wake wa kisiasa Rais Salva Kiir.
-
Umoja wa Mataifa wapongeza hatua ya Machar kurejea Juba
Apr 27, 2016 10:06Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini kurejea katika mji mkuu wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika na kuunda serikali na Rais Salva Kiir.
-
Machar, Mkuu wa waasi Sudan Kusini aapishwa kuwa makamu wa rais
Apr 26, 2016 10:01Kiongozi wa waasi Sudan Kusini Riek Machar amewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba na kuapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.