Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Umoja wa Mataifa wapongeza kuundwa baraza la mawaziri Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa wapongeza kuundwa baraza la mawaziri Sudan Kusini

    Mar 15, 2020 11:07

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza hatua ya kuundwa baraza la mawaziri la serikali ya mpito ya umoja wa kitafa nchini Sudan Kusini.

  • Mamia wapoteza makazi baada ya moto kuteketeza eneo kubwa Sudan Kusini

    Mamia wapoteza makazi baada ya moto kuteketeza eneo kubwa Sudan Kusini

    Feb 26, 2020 07:33

    Mamia ya watu wamepoteza makazi yao Sudan Kusini katika eneo la Nzara baada ya kukumbwa na janga la moto wa nyika ambao umeteketeza takribani maili tano mraba katika jimbo la Equatoria Magharibi.

  • Misri yapongeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini

    Misri yapongeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini

    Feb 24, 2020 11:49

    Serikali ya Misri imepngeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini na kusema kuwa ina matumaini hatua hiyo itatoa fursa ya kushuhudiwa utulivu na usalama wa kudumu nchini humo.

  • UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini

    UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini

    Feb 23, 2020 13:36

    Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) na Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Afrika (UNHCR) zimepongeza hatua ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na shauku huko Sudan Kusini.

  • Mahasimu wa kisiasa Sudan Kusini waahidi kuunda serikali kufikia Jumamosi

    Mahasimu wa kisiasa Sudan Kusini waahidi kuunda serikali kufikia Jumamosi

    Feb 21, 2020 02:44

    Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Riek Machar wamesisitiza kuwa wataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kufikia Jumamosi ya kesho (Februari 22) kama ilivyopangwa.

  • Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amepinga pendekezo la amani la Rais Kiir

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amepinga pendekezo la amani la Rais Kiir

    Feb 17, 2020 07:52

    Waasi nchini Sudan Kusini wamepinga pendekezo la amani la Rais Salva Kiir wa nchi hiyo ambalo lingeipelekea nchi hiyo kurejea katika idadi ya awali ya majimbo kumi na nyongeza ya majimbo mapya matatu.

  • Rais wa Sudan Kusini atekeleza takwa la upinzani, apunguza idadi ya majimbo

    Rais wa Sudan Kusini atekeleza takwa la upinzani, apunguza idadi ya majimbo

    Feb 16, 2020 08:10

    Afrika Kusini imepongeza hatua ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ya kupunguza idadi ya majimbo nchini, moja ya matakwa makuu ya upinzani unaoongozwa na Riek Machar, kwa ajili ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

  • UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la ghasia nchini Sudan Kusini

    UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la ghasia nchini Sudan Kusini

    Feb 08, 2020 07:40

    Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha juu ya ongezeko la vitendo vya utumiaji mabavu wa silaha kutokana na kuchelewa kutekelezwa makubaliano ya amani na kuzitia doa sheria za haki za binaadamu nchini Sudan Kusini.

  • AU yaunga mkono mchakato wa amani wa Sudan Kusini

    AU yaunga mkono mchakato wa amani wa Sudan Kusini

    Feb 05, 2020 14:21

    Umoja wa Afrika AU umeelezea kufurahishwa kakwe na juhudi za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa Sudan Kusini ambao unalenga kurejesha amani katika nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko tangu kuasisiwa kwake.

  • UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia

    UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia

    Jan 26, 2020 12:58

    Umoja wa Mataifa umesema raia wa Sudan Kusini ndio wanaounda idadi kubwa ya wakimbizi nchini Ethiopia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS