-
Sudan na Sudan Kusini zaongeza muda wa mapatano ya mafuta hadi Machi 2022
Dec 25, 2019 02:56Sudan na Sudan Kusini zimeafikiana kuhusu kurefusha makubaliano ya mafuta na mapatano mengine husika ya kiuchumi hadi mwezi wa Machi mwaka 2022.
-
Makumi wauawa Sudan Kusini licha ya makubaliano ya amani
Dec 19, 2019 02:33Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mapigano ya kikabila ndani ya mwezi mmoja uliopita nchini Sudan Kusini, licha ya pande mbili hasimu za kisiasa kukubaliana juu ya kuundwa serikali ya umoja kitaifa.
-
Rais wa Sudan Kusini: Tumeshafikia makubaliano na Machar ya kuunda serikali ya umoja
Dec 17, 2019 13:27Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema, yeye na aliyekuwa kiongozi mkuu wa waasi Riek Machar leo wamefikia makubaliano ya kuunda serikali iliyokuwa ikingojewa kwa muda mrefu, ya umoja wa kitaifa.
-
Watu milioni 5.5 katika hatari ya kufa njaa Sudan Kusini
Dec 13, 2019 00:43Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni tano na laki tano wanakabiliwa na baa la njaa nchini Sudan Kusini, kutokana na ukame na mafuriko ya hivi karibuni yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha.
-
Rais Kiir wa Sudan Kusini na Machar kukutana ana kwa ana Juba
Dec 10, 2019 07:50Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani, Riek Machar wanatazamiwa kukutana leo Jumanne katika mazungumzo ya uso kwa uso katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Makumi wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini
Dec 07, 2019 07:29Kwa akali watu 67 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyotokea katika jimbo la Western Lakes nchini Sudan Kusini.
-
UN yatuma wanajeshi katika eneo lililokumbwa na mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Dec 04, 2019 03:01Umoja wa Mataifa umetuma kikosi cha askari wake wa kulinda amani katika eneo la katikati mwa Sudan Kusini ambako watu karibu 80 wameuawa katika mapigano ya kikabila.
-
UN: Sudan Kusini yasajili kikosi kipya cha wapiganaji kinyume na makubaliano
Nov 27, 2019 13:36Umoja wa Mataifa umesema Idara ya Usalama wa Taifa ya Sudan Kusini imeunda kikosi kipya chenye wapiganaji 10,000 kinyume na makubaliano ya amani.
-
UN yakaribisha kuongezwa muda wa kipindi cha mpito Sudan Kusini
Nov 12, 2019 08:01Umoja wa Mataifa umekaribisha uamuzi wa Shirika la Kiserikali la Ustawi wa nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) wa kurefusha kwa siku 100 kipindi cha mpito nchini Sudan Kusini.
-
Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar
Nov 05, 2019 07:59Rais Yoweri Museveni wa Uganda anatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa ana kwa ana baina ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na kinara wa upinzani Riek Machar jijini Kampala.