-
Kinara wa waasi Sudan Kusini atarejea Juba kwa ajili ya mazungumzo
Oct 18, 2019 07:31Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar anatarajiwa kurejea Juba kwa ajili ya duru nyingine ya mazungumzo na Rais Salva Kiir.
-
Kiongozi wa waasi Sudan Kusini kukutana na Rais Kiir, wawili hao wanajadili mpango wa amani
Sep 09, 2019 13:14Kiongozi wa zamani wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar alitazamiwa kufanya safari katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba hii leo kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Salva Kiir.
-
Kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu nchini Sudan Kusini
Aug 27, 2019 11:16Licha ya kutiwa saini makubaliano ya amani huko Sudan Kusini, lakini machafuko na vitendo vya utumiaji mabavu vingali vinaendelea kushuhudiwa katika nchi hiyo.
-
Machar atoa masharti mapya ya kurejea Sudan Kusini
Jul 14, 2019 07:24Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar ametoa mwito wa kuondolewa adhabu ya kifungo cha nyumbani, kama moja ya masharti yake ya kurejea mjini Juba.
-
Jeshi la Sudan Kusini lakanusha madai ya UN kuwa limeua raia
Jul 05, 2019 02:26Jeshi la Sudan Kusini limekanusha vikali madai ya Umoja wa Mataifa kwamba limeua makumi ya raia wa nchi hiyo katika eneo la Central Equatoria.
-
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu 100 wameuawa katika machafuko ya Sudan Kusini
Jul 04, 2019 04:43Umoja wa Mataifa umetangaza kuuwa, zaidi ya watu 100 wameuawa katika mapigano ya hivi karibuni katika nchi ya Sudan Kusini
-
UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa
Jun 15, 2019 07:58Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema jumla ya watu milioni 7 sawa na asilimia 60 ya jamii nzima ya Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa.
-
Mapigano yaibuka upya jimboni Yei nchini Sudan Kusini
May 29, 2019 08:06Mapigano kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa kundi la waasi la National Salvation Front (NAS) linaloongozwa na Jenerali Thomas Cirillo yameibuka upya katika mkoa wa Yei nchini Sudan Kusini.
-
Mkuu wa Baraza la Mpito la Sudan aonana na rais wa Sudan Kusini
May 28, 2019 07:59Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan ameonana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini katika kikao cha faragha.
-
Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu
May 20, 2019 11:03Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuziuzia silaha na suhula za kiintelijensia nchi ambazo zinatambulikwa kwa ukiukakaji wa haki za binadamu.