-
Sudan Kusini yaamua kufunga balozi zake kadhaa nje ya nchi
May 20, 2019 01:21Sudan Kusini imesema kuwa inapamga kufunga balozi zake katika miji mikuu sita duniani zikiwemo balozi zake zilizoko Saudi Arabia, Imarati na Norway.
-
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini: Niko tayari kuachia ngazi
May 15, 2019 06:25Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema yuko tayari kuachia ngazi na kukabidhi madaraka iwapo kutakuwa na haja ya msingi ya yeye kuchukua hatua hiyo.
-
IEA: Kenya na Uganda zinatakatisha 'fedha chafu' za Sudan Kusini
Apr 22, 2019 03:30Ripoti ya Taasisi ya Masuala ya Uchumi IEA imefichua kuwa, Kenya na Uganda zimefeli kuzuia mzunguko wa pesa haramu zinazotoka katika nchi changa zaidi barani Afrika, Sudan Kusini.
-
Rais Kiir wa Sudan Kusini amuomba Machar ajiunge na serikali ya umoja wa kitaifa
Apr 21, 2019 02:39Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemhimiza kiongozi wa upinzani Riek Machar kurejea nyumbani haraka ili kusaidia kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
-
Machar: Siko tayari kurejea nchini Sudan Kusini kwa sasa
Apr 19, 2019 03:02Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema hayuko tayari kurejea nchini mwake kwa sasa, huku akitoa mwito wa kuakhirishwa mchakato wa kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Sudan Kusini inataka uanachama wa WTO kustawisha uchumi wake
Apr 18, 2019 03:41Serikali ya Sudan Kusini imetangaza azma yake ya kujiunga na Shirika la Biashara Duniani ,WTO, ili kuimarisha uchumi wake baada ya kumalizika vita vya muda mrefu nchini humo.
-
Machar asema ni muhali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Sudan Kusini
Apr 13, 2019 07:34Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema ni vigumu kuunda serikali ya umoja wa kitaifa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kufikia Mei 12 kama ilivyopangwa chini ya makubaliano ya amani ya Addis Ababa kati yake na Rais Salva Kiir.
-
Kinara wa upinzani wa Sudan Kusini 'azuiwa' kushiriki mkutano wa Vatican
Apr 10, 2019 07:53Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar ameripotiwa kuzuiwa kwenda Vatican, Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani nchini Italia kushiriki mkutano wa amani kati yake na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Sudan Kusini yaandaa mkutano wa kuwavutia wawekezaji baada ya vita kumalizika
Mar 30, 2019 02:18Sudan Kusini imeandaa mkutano wa uwekezaji, ukiwa ni wa kwanza kufanyika baada ya kumalizika rasmi kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe, viliyodumu kwa miaka mitano.
-
Sudan na Sudan Kusini zakubaliana kufungua tena kivuko cha mpakani
Mar 19, 2019 06:43Kamati ya usalama wa kisiasa ya pamoja kati ya Sudan na Sudan Kusini imeafiki suala la kufungua tena kivuko cha mpakani kati ya nchi mbili hizo.