Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • HRW yaitaka ICC ichunguze jinai za kivita nchini Sudan Kusini

    HRW yaitaka ICC ichunguze jinai za kivita nchini Sudan Kusini

    Mar 13, 2019 07:39

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuanzisha uchunguzi wa jinai za kivita nchini Sudan Kusini.

  • Oxfam: Ndoa za utotoni Sudan Kusini zinazuia asilimia 70 ya wasichana kupata elimu

    Oxfam: Ndoa za utotoni Sudan Kusini zinazuia asilimia 70 ya wasichana kupata elimu

    Feb 19, 2019 15:53

    Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, ndoa za utotoni katika nchi ya Sudan Kusini zinazuia asilimia 70 ya wasichana wa nchi hiyo kupata elimu na kwenda shule.

  • UN: Mapigano mapya Sudan Kusini yasababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi

    UN: Mapigano mapya Sudan Kusini yasababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi

    Feb 12, 2019 14:14

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mapigano mapya yaliyoibuka nchini Sudan Kusini yamesababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.

  • Watu 9 wauawa katika wimbi jipya la mapigano Sudan Kusini

    Watu 9 wauawa katika wimbi jipya la mapigano Sudan Kusini

    Feb 06, 2019 07:30

    Kwa akali watu tisa wameripotiwa kuuawa katika wimbi jipya la mapigano katika jimbo la Amadi, magharibi mwa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • IGAD yasikitishwa na ukiukwaji mapatano ya amani Sudan Kusini

    IGAD yasikitishwa na ukiukwaji mapatano ya amani Sudan Kusini

    Feb 01, 2019 13:44

    Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imebainisha masikitiko yake kuhusu ukiukaji wa mapatano ya amani yaliyosainiwa mwaka jana na pande hasimu nchini Sudan Kusini.

  • 'Askari watoto kutoka Darfur, Sudan wanapigana mstari wa mbele katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen'

    'Askari watoto kutoka Darfur, Sudan wanapigana mstari wa mbele katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen'

    Dec 29, 2018 16:10

    Gazeti la The New York Times linalochapishwa nchini Marekani limeripoti kuwa, kwa sababu ya pesa, askari watoto kutoka eneo la Darfur nchini Sudan wanapigana mstari wa mbele kwa niaba ya Saudi Arabia na waitifaki wake katika vita vya umwagaji mkubwa wa damu vilivyoanzishwa na Riyadh dhidi ya Yemen.

  • UNSC yalaani unyanyasaji wasimamizi wa kusitishwa kwa vita Sudan Kusini

    UNSC yalaani unyanyasaji wasimamizi wa kusitishwa kwa vita Sudan Kusini

    Dec 22, 2018 15:23

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) limelaani vikali mashambulizi, kuzuiwa na unyanyasaji wa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wanaosimamia usitishaji vita nchini Sudan Kusini unaofanywa na askari wa serikali.

  • Silaha za Israel zinachochea mapigano na mauaji Sudan Kusini

    Silaha za Israel zinachochea mapigano na mauaji Sudan Kusini

    Dec 16, 2018 15:21

    Silaha za utawala haramu wa Israel zenye thamani ya mamilioni ya dola zimeingizwa Sudan Kusini na hivyo kuendelea kuchochea vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimesababisha karibu watu nusu milioni kupoteza maisha.

  • Sudan Kusini yaapuza vitisho vya Marekani, yasema havina maana

    Sudan Kusini yaapuza vitisho vya Marekani, yasema havina maana

    Dec 16, 2018 03:25

    Serikali ya Sudan Kusini imepuuza vitisho vilivyotolewa na Marekani kwamba itakata misaada yake yote ya kifedha kwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa havina maana.

  • Hatima isiyojulikana ya watoto 15,000 wahanga wa machafuko Sudan Kusini

    Hatima isiyojulikana ya watoto 15,000 wahanga wa machafuko Sudan Kusini

    Dec 13, 2018 15:31

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, kutokana machafuko na mapigano ya miaka mitano huko Sudan Kusini, hatima ya watoto 15,000 haijulikana kutokana na kutoweka au kukutengana na wazazi wao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS