-
IRGC yatoa onyo kwa maadui kwamba iko kwenye 'kilele cha utayari wa pande zote' wa kijeshi
Apr 22, 2025 11:14Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa tamko kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 46 wa kuasisiwa kwake kwamba liko kwenye utayari wa kiwango cha juu kabisa cha utekelezaji operesheni za kjeshi, likisisitizia dhamira yake isiyotetereka ya kuilinda Jamhuri ya Kiislamu na kukabiliana na adui yeyote.
-
Muqawama Iraq: Huenda kongozi wa Hayat Tahrir al-Sham ya Syria akamatwa akija Baghdad
Apr 21, 2025 02:25Kiongozi wa kundi la Muqawama na kupambana na ugaidi la Asa’ib Ahl al-Haq nchini Iraq ameonya kwamba, anayejiita rais wa Syria Abu Mohammed al-Jolani anaweza kukamatwa atakapowasili Baghdad, kutokana na kuwepo hati ya kukamatwa kwake.
-
Misafara ya askari, silaha za Marekani yaingia Ain al-Asad, Iraq ikitokea Syria
Apr 21, 2025 02:24Jeshi la Marekani limeripotiwa kutuma misafara mingi ya malori yaliyobeba wanajeshi, silaha na zana kivita, pamoja na suhula za kilojistiki kutoka ndani kabisa ya Syria hadi katika kambi kubwa ya anga ya Ain al-Asad katika jimbo la Anbar nchini Iraq, ambayo ina wanajeshi na wakufunzi wa Marekani.
-
Iraq yaonya dhidi ya kuibuka upya ISIS nchini Syria
Apr 14, 2025 13:06Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein ameonya kuhusu kushadidi harakati za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi jirani ya Syria, kufuatia kuanguka kwa serikali ya Rais Bashar al-Assad mwishoni mwa mwaka jana.
-
China yaitaka Syria iunde serikali shirikishi na ipambane na ugaidi
Mar 26, 2025 07:41Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa mpito wa Syria waandae mchakato wa kuasisi serikali shirikishi na wachukua hatua madhubuti za kupabana na ugaidi nchini humo.
-
UN: Wakati umefika wa kuunda serikali ya shirikishi nchini Syria
Mar 15, 2025 02:25Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza kuwa, wakati umefika sasa wa kuchukua hatua za dhati na za kijasiri za kuunda serikali ya mpito na ya kuaminika nchini Syria.
-
Ansarullah: Matakfiri Syria ni vikaragosi vya madola ajinabi
Mar 10, 2025 11:25Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani vikali machafuko mabaya yaliyotokea hivi karibuni katika eneo la pwani ya magharibi mwa Syria na kusisitiza kuwa, mbali na kuwa ghasia hizo ni tishio kwa wahusika wa jinai hizo na walezi wao, lakini pia ni somo kwa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu.
-
UN yatoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini Syria
Mar 10, 2025 06:59Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameonya katika taarifa yake kuhusu ghasia za hivi karibuni magharibi mwa Syria na kutoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini humo.
-
70 wauawa katika mapigano baina ya pande kinzani Syria
Mar 07, 2025 10:58Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Syria kutokana na mapigano makali kati ya wanamgambo wa kundi la kigaidi linalotawala la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) na makundi ya Muqawama ya wananchi huko magharibi mwa nchi hiyo.
-
Baqaei: Kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa Israel nchini Syria
Feb 27, 2025 11:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa utawala haramu wa Israel nchini Syria