-
UN: Wakati umefika wa kuunda serikali ya shirikishi nchini Syria
Mar 15, 2025 02:25Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza kuwa, wakati umefika sasa wa kuchukua hatua za dhati na za kijasiri za kuunda serikali ya mpito na ya kuaminika nchini Syria.
-
Ansarullah: Matakfiri Syria ni vikaragosi vya madola ajinabi
Mar 10, 2025 11:25Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani vikali machafuko mabaya yaliyotokea hivi karibuni katika eneo la pwani ya magharibi mwa Syria na kusisitiza kuwa, mbali na kuwa ghasia hizo ni tishio kwa wahusika wa jinai hizo na walezi wao, lakini pia ni somo kwa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu.
-
UN yatoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini Syria
Mar 10, 2025 06:59Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameonya katika taarifa yake kuhusu ghasia za hivi karibuni magharibi mwa Syria na kutoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini humo.
-
70 wauawa katika mapigano baina ya pande kinzani Syria
Mar 07, 2025 10:58Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Syria kutokana na mapigano makali kati ya wanamgambo wa kundi la kigaidi linalotawala la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) na makundi ya Muqawama ya wananchi huko magharibi mwa nchi hiyo.
-
Baqaei: Kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa Israel nchini Syria
Feb 27, 2025 11:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa utawala haramu wa Israel nchini Syria
-
Israel inakusudia nini kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria?
Feb 27, 2025 09:58Utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatano Februari 26 ulishambulia mara kadhaa maeneo mbalimbali ya Syria na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Kufichuka nia halisi ya utawala wa Kizayuni nchini Syria
Feb 23, 2025 02:41Kimya na kutochukua hatua yoyote watawala wapya wa Syria vimeufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ufikirie kuyatwaa kabisa maeneo mapya yaliyokaliwa kwa mabavu nchini Syria.
-
Ripoti: Marekani na Ufaransa zinataka askari mamluki wapelekwe kusini mwa Lebanon
Feb 19, 2025 06:54Marekani na Ufaransa zimeripotiwa kuwa zimependekeza mamluki wanaoitwa wakandarasi binafsi wapelekwe kusini mwa Lebanon katika jitihada za kuushawishi utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe kikamilifu majeshi yake nchini humo.
-
Iravani: Iran inaunga mkono kuundwa serikali jumuishi nchini Syria
Feb 13, 2025 06:52Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Iran inaunga mkono uundwaji wa serikali shirikishi kupitia uchaguzi huru na mazungumzo jumuishi ya kitaifa nchini Syria.
-
Mamluki wa Jolani wapigana na vikosi vya Wakurdi, Syria
Jan 20, 2025 11:07Vyombo vya habari vya Syria vimeripoti kujiri mapigano kati ya mamluki wa utawala wa Jolani na wanamgambo wa Kikurdi, QSD, katika viunga vya Deir ez-Zor.