Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Bloomberg: Kurejea Syria kwenye Arab League ni ishara ya kupungua ushawishi wa Marekani

    Bloomberg: Kurejea Syria kwenye Arab League ni ishara ya kupungua ushawishi wa Marekani

    May 08, 2023 07:10

    Shirika la habari la Marekani la "Bloomberg" limeandika kuwa, uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wa kuipuuza Washington na kuirejesha Syria kwenye umoja huo ni ishara ya wazi ya kupungua ushawishi wa Marekani katika ulimwengu wa Kiarabu.

  • Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; takwa la Damascus au Arab League?

    Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; takwa la Damascus au Arab League?

    May 08, 2023 02:06

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu walikubaliana katika mkutano wao waliofanya jana Jumapili tarehe 7 Mei mjini Cairo kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), baada ya kusimamishwa uwanachama wake kwa muda wa takriban miaka 12.

  • Profesa wa Chuo Kikuu US: Ziara ya Rais wa Iran Syria ni kiashiria cha ushindi wa Muqawama

    Profesa wa Chuo Kikuu US: Ziara ya Rais wa Iran Syria ni kiashiria cha ushindi wa Muqawama

    May 06, 2023 08:56

    David Yaghoubian, Profesa na mhadhiri wa Historia wa Chuo Kikuu cha Jimbo la California nchini Marekani amesema ziara ya rais wa Iran nchini Syria ni kiashiria cha ushindi wa mhimili wa Muqawama katika vita vichafu vya Syria vilivyoanzishwa kwa uungaji mkono na Marekani, ambapo Washington haikuweza kuleta mabadiliko ya utawala iliyokusudia ili kuigawa vipande vipande nchi hiyo.

  • Ayatullah Khatami: Kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Iran ya Kiislamu ni ushindi wa Mwenyezi Mungu

    Ayatullah Khatami: Kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Iran ya Kiislamu ni ushindi wa Mwenyezi Mungu

    May 05, 2023 10:09

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ametaja kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni ushindi au nusra kutoka kwa Mwenyezi Mungu na akaongeza kuwa: "Kumfuata Wali ul Amr wa Waislamu na Hujja za Kisharia ni mfano wa usaidizi wa Mwenyezi Mungu."

  • Raisi asisitiza udharura wa kushirikiana kwa ajili ya kutetea haki zilizoghusubiwa za Wapalestina

    Raisi asisitiza udharura wa kushirikiana kwa ajili ya kutetea haki zilizoghusubiwa za Wapalestina

    May 04, 2023 22:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Waislamu wanapaswa kutumia uwezo wao wote kutetea haki zilizoghusubiwa za Palestina na kukomboa Quds Tukufu.

  • Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Syria

    Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Syria

    May 04, 2023 06:57

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria kwa mwaliko rasmi wa rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad.

  • Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'

    Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'

    May 04, 2023 04:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuvunjwa pembe za Marekani huko Syria na katika eneo ndio sababu ya kukasirishwa Ikulu ya White House na ziara ya Rais Ebrahim Raisi mjini Damascus, Syria.

  • Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama

    Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama

    May 04, 2023 03:24

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimama imara mataifa ya Palestina na Syria kumebadilisha hali ya mambo kwa manufaa ya kambi ya muqawama na leo hii utawala wa Kizayuni wa Israel ni dhaifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

  • Amir Abdollahian: Ziara ya Rais Raisi Syria ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia ya serikali katika ushirikiano wa kikanda

    Amir Abdollahian: Ziara ya Rais Raisi Syria ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia ya serikali katika ushirikiano wa kikanda

    May 03, 2023 03:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria mbali na umuhimu wake wa kisiasa, kiusalama na kiuchumi ni dhihirisho la ushindi wa irada ya kisiasa ya muqawama na kufanikiwa diplomasia ya serikali katika kukamilisha mchakato wa utangamano wa kikanda.

  • Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria

    Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria

    May 01, 2023 03:25

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alitangaza jana Jumapili jioni kwambau kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh), ameuawa katika operesheni ya kijasusi ya Uturuki nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS