-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Shambulio la kijeshi dhidi ya Syria linawanufaisha magaidi
Jul 19, 2022 06:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusema: Shambulio lolote la kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Syria litazidhuru Uturuki, Syria na eneo zima na Asia Magharibi na kuwanufaisha magaidi.
-
Raisi: Iran inapinga uingiliaji wowote wa ajinabi nchini Syria
Jul 10, 2022 04:39Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inaunga mkono amani na uthabiti na inapinga uingiliaji wowote wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya Syria.
-
Safari ya kwanza ya Bashar Assad mjini Aleppo (Halab)
Jul 10, 2022 02:40Rais Bashar al-Assad wa Syria aliutembele mji wa Aleppo (Halab) siku ya Ijumaa na sambamba na kushiriki katika swala ya Eid al-Adha, alizindua miradi kadhaa ya kiuchumi na maendeleo katika mji huo.
-
HAMAS: Israel inapaswa kukabiliwa kwa jibu kali kwa kuishambulia Syria
Jul 03, 2022 03:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, utawala huo haramu unapaswa kukabiliwa kwa jibu kali kwa kuushambulia mji bandari wa Syria.
-
Abdollahian: Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu
Jul 03, 2022 00:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ukombozi wa taifa la Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
-
Iran: Tunapinga hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile
Jul 02, 2022 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "sisi tunauelewa wasiwasi ilionao nchi jirani yetu Uturuki na tunapinga vikali hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile".
-
Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria
Jun 25, 2022 22:02Baadhi ya vyanzo vya habari vimeripoti kuwa Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha jitihada za pamoja za kuunda upya kikosi kinachojulikana kwa jina la Jaish Maghawir al-Thawra (Jeshi la Makomando wa Mapinduzi) katika kituo cha Al-Tanf kinachosimamiwa na Marekani kilichoko kwenye mpaka wa Jordan, Syrian na Iraq.
-
Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus
Jun 17, 2022 05:29Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Faisal al-Miqdad: Erdoğan anataka kusambaza magaidi kaskazini ya Syria
Jun 16, 2022 23:13Waziri wa mambo ya nje wa Syria amesema, lengo la rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki la kuanzisha ukanda wa usalama kaskazini ya Syria ni kuweka magaidi katika eneo hilo.
-
Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya
Jun 13, 2022 05:44Balozi wa Russia nchini Syria amelaani vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.