Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu: Sehemu kubwa ya Madaesh wa kujiripua wameingia Iraq kutokea Syria

    Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu: Sehemu kubwa ya Madaesh wa kujiripua wameingia Iraq kutokea Syria

    Feb 22, 2021 23:14

    Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala nchini Iraq amesema kuwa, sehemu kubwa ya magaidi wa Daesh (ISIS) wa kujiripua kwa mabomu wameingia nchini Iraq wakitokea Syria.

  • Mbunge: Marekani inaunga mkono magaidi katika nchi za Syria na Iraq

    Mbunge: Marekani inaunga mkono magaidi katika nchi za Syria na Iraq

    Feb 06, 2021 23:12

    Mbunge mmoja wa Syria amesema kuwa serikali ya Marekani inahusika katika ongezeko la hujuma za kigaidi nchini Syria na Iraq.

  • Kamati ya Katiba ya Syria yamaliza kikao chake cha tano bila mafanikio

    Kamati ya Katiba ya Syria yamaliza kikao chake cha tano bila mafanikio

    Feb 03, 2021 05:05

    Kikao cha Tano cha Kamati ya Kuandika Katiba ya Syria kimemalizika baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano bila kufikia natija yoyote ya maana huko Geneva, Uswisi.

  • Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria

    Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria

    Feb 01, 2021 23:30

    Duru mbalimbali za habari zimearifu kuwa, silaha na zana za kilojistiki za wanajaeshi magaidi wa Marekani zimeonekana zikiingizwa katika maidani ya mafuta huko Koniko kaskazini mashariki mwa Deir Zor.

  • Syria yasisitiza ulazima wa kuweko umoja kwa ajili ya kukabilianan na ugaidi

    Syria yasisitiza ulazima wa kuweko umoja kwa ajili ya kukabilianan na ugaidi

    Jan 22, 2021 04:48

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Iraq Baghdad na kusisitiza ulazima wa kuweko umoja na mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.

  • Mbali na mafuta, Marekani sasa inaiba mazao ya mashamba ya Wasyria

    Mbali na mafuta, Marekani sasa inaiba mazao ya mashamba ya Wasyria

    Jan 18, 2021 08:26

    Sambamba na kuendelea wizi wa mafuta ya Syria unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani, askari hao vamizi sasa wameanza kupora mazao ya mashamba ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Mshauri wa Rais wa Syria: Qassem Suleimani alikuwa kamanda wa nyoyo na mpamabanaji wa njia ya ukombozi

    Mshauri wa Rais wa Syria: Qassem Suleimani alikuwa kamanda wa nyoyo na mpamabanaji wa njia ya ukombozi

    Jan 07, 2021 23:12

    Mshauri maalumu wa Rais Bashar al Assad wa Syria amesema, shahidi Qassem Suleimani alikuwa mpigania uadilifu kwa ajili ya wanadamu na mpambanaji wa njia ya ukombozi.

  • Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq

    Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq

    Dec 27, 2020 20:50

    Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Kupitishwa maazimio 17 ya Baraza la Kuu la UN dhidi ya Israel katika mwaka 2020

    Kupitishwa maazimio 17 ya Baraza la Kuu la UN dhidi ya Israel katika mwaka 2020

    Dec 26, 2020 23:02

    Utawala wa Kizayuni ni utawala pekee uliolaaniwa na Umoja wa Mataifa mara tatu zaidi ya nchi nyingine zote duniani katika mwaka huu wa 2020. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha jumla ya maazimio 17 dhidi ya Israel katika mwaka huu wa 2020.

  • Syria yataka Baraza la Usalama lizuie hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Syria yataka Baraza la Usalama lizuie hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 26, 2020 03:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema imekosoa uungaji mkono wa baadhi ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel na imetaka baraza hilo lichukue hatua za kivitendo kuzuia hujuma hizo za utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS