-
Mshauri wa Assad ataka jeshi vamizi la Marekani liondoke Syria
Dec 20, 2020 03:41Mshauri wa Rais Bashar al Assad wa Syria amelaani vikali Marekani kwa kuikalia kwa mabavu nchi yake na kupora utajiri wake wa mafuta.
-
Iran yaitaka Marekani iondoe askari wake vamizi nchini Syria
Dec 17, 2020 04:01Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vamizi vya nchi ajinabi vikiweko vya Marekani vinapaswa kuondoka nchini Syria mara moja.
-
Jeshi la Syria lakamata silaha za Israel mikononi mwa magaidi
Dec 14, 2020 23:00Jeshi la Syria limekamata kiwango kikubwa cha silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel zilizokuwa zinatumiwa na magenge ya kigaidi kufanya jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria
Dec 13, 2020 10:33Kwa mara nyingine, askari wa jeshi la Marekani wamepora makumi ya malori ya mafuta ya Syria na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.
-
Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia
Dec 09, 2020 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Damascus ni mkubwa na wa kistratejia na kueleza kuwa: Syria ina uhusiano mkubwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.
-
Serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva: Suala la wakimbizi kurudi nchini lisifanywe la kisiasa
Dec 01, 2020 22:55Ujumbe wa serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva umesisitiza ulazima wa kutatuliwa suala la wakimbizi raia wa nchi hiyo na kuwawezesha kurejea makwao.
-
Bashar al Jaafari akosoa wanajeshi wa Marekani kuendelea kupora maliasili za Syria
Nov 26, 2020 04:36Mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa wanajeshi vamizi wa Marekani kuendelea kupora maliasili za Syria yakiwemo mafuta na gesi.
-
Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq
Nov 20, 2020 00:09Shirika lisilo la kiserikali la Airwars lenye makao yake mjini London Uingereza limeripoti kuwa, raia wasiopungua 13,000 wa Syria na Iraq wameuawa katika mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh wa Marekani katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
-
Rais Putin wa Russia: Sasa ni wakati wa wakimbizi wa Syria kurejea nyumbani
Nov 10, 2020 01:07Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yake sasa yanashuhudia amani.
-
Baada ya kuzingirwa kila upande, wanajeshi wa Uturuki waondoka kwenye kambi nyingine nchini Syria
Nov 08, 2020 07:58Duru mbalimbali za habari zimetangaza kuwa, wanajeshi wa Uturuki wameondoka katika kambi nyingine ya viunga vya kusini mwa mji wa Idlib wa magharibi mwa Syria na kukimbilia katika maeneo mengine yanayodhibitiwa na waasi wa nchi hiyo.