-
Marekani yaiba tena mafuta ya Syria na kuyapeleka Iraq
Oct 11, 2020 08:36Msafara wa malori 20 ya Marekani yaliyobeba mafuta ghafi yaliyoibwa kutoka visima vya mafuta vya Syria umeelekea nchini Iraq.
-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 06, 2020 23:41Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.
-
Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria
Oct 06, 2020 07:48Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa misaada na himaya kubwa ya Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi ndiyo sababu kuu iliyoliwezesha kundi la kigaidi la Daesh kuteka na kukalia kwa mabavu maeneo ya nchi hiyo mwaka 2014.
-
Faisal Mekdad: Askari wa Marekani wanapaswa kuondoka Syria
Oct 01, 2020 21:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Syria amesema kuwa magaidi ndio wenzo wa bei rahisi zaidi unaotumiwa na Marekani katika kanda ya magharibi mwa Asia na kwamba askari wa Marekani wanapaswa kuondoka katika ardhi ya Syria.
-
Watunisia wasisitiza kuhuishwa uhusiano na Syria
Sep 25, 2020 23:24Jumuiiya ya Kitaifa ya Kuunga mkono Muqawama na kupambana na utawala wa Kizayuni ya Tunisia imefanya maandamano na kusisitiza kuanzishwa tena uhusiano kati ya nchi hiyo na Syria.
-
Marekani yaendelea kupora mafuta ya Syria, malori 30 yahamishiwa Iraq
Sep 20, 2020 03:17Shirika rasmi la habari la Syria SANA limeripoti kuwa, askari wa jeshi la kigaidi la Marekani wameiba malori 30 ya mafuta ya nchi hiyo na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.
-
Trump: Nilitaka kumuua Rais wa Syria lakini Mattis alinizuia
Sep 16, 2020 21:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema kuwa, kitendo cha rais wa Marekani, Donald Trump cha kukiri hadharani kwamba alikuwa na nia ya kumuua Rais Bashar al Assad wa Syria kinaonesha jinsi dola hilo la kibeberu linavyotumia kila unyama ikiwa ni pamoja na kuyatumia magenge ya kigaidi kufikia malengo yake.
-
Ngao ya makombora ya Syria yazima mashambulizi ya anga ya Israel
Sep 01, 2020 03:14Jeshi la Syria limetangaza kuwa, mfumo wake wa ulinzi wa anga umefanikiwa kutungua makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Damascus.
-
Askari wa Saudia waingia katika kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Syria
Aug 29, 2020 02:02Saudi Arabia imetuma makumi ya wanajeshi wake katika kambi ya kijeshi ya Marekani katika mkoa wenye utajiri wa mafuta wa Hasakah, huko kaskazini mashariki mwa Syria. Hayo yameripotiwa na kanali ya televisheni ya al-Mayadeen ya Lebanon.
-
Marekani na wizi wa mafuta ya Syria
Aug 27, 2020 21:52Nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja mwishoni mwa kikao cha tatu cha Kamati ya Katiba ya Syria zikilaani wizi wa mafuta unaofanywa na Marekani nchini Syria.