-
Putin na Merkel wabainisha wasiwasi wao kufuatia kushtadi mapigano ya silaha huko Libya
Jun 10, 2020 03:20Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel wamesema kuwa wana wasiwasi kufuata kushtadi mapigano ya silaha huko Libya. Viongozi hao wawili wa Russia na Ujerumani wameeleza hayo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu.
-
Iran yazitaka Marekani na EU ziiondolee Syria vikwazo
Jun 06, 2020 03:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka kuondolewa mara moja vikwazo haramu dhidi ya taifa la Syria vilivyowekwa na Marekani na Umoja wa Ulaya.
-
Hamas yalaani mashambulizi ya Israel nchini Syria
Jun 05, 2020 03:26Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani mashambulizi ya makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Syria.
-
Russia yakanusha kuwepo mvutano katika uhusiano wake na Syria
May 21, 2020 22:12Balozi wa Russia nchini Syria ametupilia mbali madai ya kuwepo hitilafu katika uhusiano wa serikali ya Moscow na Damascus.
-
Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia
May 12, 2020 01:38Baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilianzisha vita katika maeneo tofauti duniani kwa madai ya kupambana na ugaidi na hasa katika nchi mbili za Waislamu, za Afghanistan na Iraq ambazo hatimaye ilizikalia kwa mabavu.
-
Balozi wa Syria UN: Ugaidi wa siha wa Marekani umehatarisha maisha ya watu bilioni mbili duniani
May 10, 2020 08:58Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema, ugaidi unaolenga siha za watu ni hatua mpya ya upande mmoja ya Marekani ambayo imeyaweka hatarini maisha ya watu bilioni mbili duniani.
-
Wananchi wa Misri wahimiza kupambana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Syria
May 10, 2020 03:16Harakati moja ya wananchi wa Misri imesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuishukuru Syria kwa kusimama kidete na kujitolea kupambana vilivyo na magenge ya kigaidi ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia nzima, na imeyataka mataifa ya dunia kuungana kupinga vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya Syria.
-
HAMAS yasisitiza kuweko umoja wa Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na Israel
May 01, 2020 02:45Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito wa kuweko umoja na mshikamano wa Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na hujuma na uvamizi wa utawala haramu wa Israel.
-
Serikali ya Misri yaliunga mkono jeshi la Syria, yahimiza ushirikiano katika vita dhidi ya magaidi
Apr 23, 2020 21:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametilia mkazo udharura wa kuendelea operesheni za jeshi la Syria za kupambana na magenge ya kigaidi nchini humo.
-
Zarif: Iran inashirikiana na UN kuhitimisha matatizo ya Wayemen
Apr 21, 2020 03:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inashirikiana na Umoja wa Mataifa katika jitihada za kuhakikisha kuwa matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi wa Yemen zinafikia tamati.