Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Wakazi wa Al-Hasakah nchini Syria wawalazimisha askari wa Marekani kurudi nyuma

    Wakazi wa Al-Hasakah nchini Syria wawalazimisha askari wa Marekani kurudi nyuma

    Apr 08, 2020 22:13

    Wakazi wa kijiji cha 'Kharab Askar' katika mkoa wa Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria kwa mara nyingine tena wamewazuia askari wa Marekani na kuwalazimisha kurudi nyuma.

  • UN yapinga madai ya kuhusika Syria katika shambulizi dhidi ya hospitali za Idlib

    UN yapinga madai ya kuhusika Syria katika shambulizi dhidi ya hospitali za Idlib

    Apr 07, 2020 03:47

    Kamati ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imepinga madai kwamba Syria imeshambulia hospitali na vituo vya afya huko Idlib.

  • Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria

    Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria

    Mar 30, 2020 23:15

    Katika hali ambayo dunia imehamanika kutokana na janga la kirusi hatari cha corona, ndio kwanza dola la kibeberu na kiistikbari la Marekani linawatumia shehena za silaha magaidi huko nchini Syria.

  • Assad apigiwa simu na kiongozi wa UAE huku Syria ikikaribia ushindi kamili vitani

    Assad apigiwa simu na kiongozi wa UAE huku Syria ikikaribia ushindi kamili vitani

    Mar 28, 2020 23:21

    Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mohammad bin Zayed Al-Nahyan amempigia simu Rais Bashar al Assad wa Syria huku jeshi la Syria likiwa linakaribia kupata ushindi kamili katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi yanayopata himaya ya kigeni nchini humo.

  • Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria

    Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria

    Mar 18, 2020 23:13

    Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Uturuki yasisitiza tena itaendelea kuwepo kijeshi Syria na wala haifikirii kuwaondoa askari wake Idlib

    Uturuki yasisitiza tena itaendelea kuwepo kijeshi Syria na wala haifikirii kuwaondoa askari wake Idlib

    Mar 12, 2020 11:56

    Waziri wa Ulinzi wa Uturuki amesisitiza kwa mara nyingine kuwa nchi hiyo itaendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Idlib nchini Syria.

  • Uturuki yakiri kuongezeka hasara za kijeshi nchini Syria

    Uturuki yakiri kuongezeka hasara za kijeshi nchini Syria

    Mar 08, 2020 23:29

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekiri juu ya hasara za kiroho na mali za jeshi la nchi yake huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria kufuatia mapigano makali kati ya askari wa nchi mbili.

  • Russia: Syria ina haki ya kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko ndani ya ardhi yake

    Russia: Syria ina haki ya kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko ndani ya ardhi yake

    Mar 07, 2020 03:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa, serikali ya Syria ina haki ya kuyatokomeza na kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko katika ardhi yake.

  • Bashar Asad: Syria itaanza opesheni dhidi ya wavamizi wa Kimarekani karibuni

    Bashar Asad: Syria itaanza opesheni dhidi ya wavamizi wa Kimarekani karibuni

    Mar 06, 2020 04:53

    Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa Uturuki inatekeleza maagizo ya Marekani na inafanya juu chini kuhakikisha kwamba Damascus haikomboi mkoa wa Idlib kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.

  • Guterres apongeza makubaliano ya Russia-Uturuki kuhusiana na mgogoro wa Syria

    Guterres apongeza makubaliano ya Russia-Uturuki kuhusiana na mgogoro wa Syria

    Mar 06, 2020 04:39

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza makubaliano yaliyofikiwa baina ya Russia na Uturuki kuhusiana na usiitishaji vita katika mkoa wa Idlib nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS