Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Spika wa Bunge la Iran aghairisha safari yake ya Uturuki baada ya nchi hiyo kuivamia kijeshi Syria

    Spika wa Bunge la Iran aghairisha safari yake ya Uturuki baada ya nchi hiyo kuivamia kijeshi Syria

    Oct 10, 2019 04:21

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameghairisha safari aliyokuwa amepanga kufanya nchini Uturuki kufuatia hatua ya nchi hiyo ya kuivamia kijeshi ardhi ya Syria.

  • Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli

    Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli

    Oct 09, 2019 10:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli na kwamba takwimu zote na moyo na utanashati wa taifa la Iran vinaonesha kuwa, kipindi cha mashinikizo ya kiwango cha juu kimeyoyoma.

  • Jarida la Newsweek: Trump ameogopa vitisho vya Rais Erdoğan wa Uturuki kuhusu Syria

    Jarida la Newsweek: Trump ameogopa vitisho vya Rais Erdoğan wa Uturuki kuhusu Syria

    Oct 08, 2019 23:03

    Jarida la Newsweek la Marekani limemnukuu mmoja wa viongozi wa serikali ya nchi hiyo akisema kuwa, Rais Donald Trump amesalimu amri mbele ya matakwa ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusiana na Syria na kuyakubali bila ya pingamizi lolote.

  • Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi

    Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi

    Oct 08, 2019 04:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amemhakikishia mwenzake wa Iran kwamba, mashambulizi ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Syria yaliyoanza Jumatatu usiku ni ya muda mfupi.

  • Uturuki kuanzisha vyuo vitatu kaskazini mwa Syria

    Uturuki kuanzisha vyuo vitatu kaskazini mwa Syria

    Oct 06, 2019 23:07

    Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti juu ya uamuzi wa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo wa kuanzisha vyuo vitatu, huko kaskazini mwa Syria, chini ya usimamizi wa Chuo Kikuu cha Gaziantep cha Uturuki.

  • Al Muallem na Pedersen wasisitiza kupiga hatua mazungumzo ya kamati ya katiba ya Syria

    Al Muallem na Pedersen wasisitiza kupiga hatua mazungumzo ya kamati ya katiba ya Syria

    Sep 23, 2019 23:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria wamechukunguza masuala yaliyosalia kuhusu uundaji wa kamati ya katiba, utaratibu na hatua zinazopaswa kuchukuliwa katika uwanja huo.

  • Taasisi ya Russia yafichua maovu ya

    Taasisi ya Russia yafichua maovu ya "Kundi la Kofia Nyeupe nchini Syria"

    Sep 22, 2019 23:18

    Taasisi isiyo ya kiserikali ya Russia kwa jina la the Fund for Research of Problems of Democracy imefichua kuwa, lengo kuu la kundi la kigaidi la "Kofia Nyeupe" huko Syria ni kuchapisha taarifa na habari za uwongo na zisizo sahihi dhidi ya serikali ya nchi hiyo na kuhusu hali ya mambo nchini.

  • Mousavi: Kupunguza Iran uwajibikaji wake katika JCPOA kunaendelea katika fremu ya makubaliano hayo ya kimataifa

    Mousavi: Kupunguza Iran uwajibikaji wake katika JCPOA kunaendelea katika fremu ya makubaliano hayo ya kimataifa

    Sep 16, 2019 09:05

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuendelea Tehran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kunafanyika katika fremu ya makubaliano hayo ya kimataifa.

  • Rais Bashar al-Assad wa Syria atoa amri ya msamaha kwa wote

    Rais Bashar al-Assad wa Syria atoa amri ya msamaha kwa wote

    Sep 16, 2019 03:36

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ametoa amri ya msamaha kwa watuhumiwa ambao hawakufanya jinai kama za kuua watu nchini humo.

  • Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Sep 12, 2019 05:55

    Muungano wa kimataifa wa eti kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani uliundwa mwaka 2014 kwa madai ya kukabiliana na genge hilo la kigaidi, na umekuwa ukifanya mashambulizi ya kiholela nchini Syria bila ya kuwa na taathira zozote za maana mbaya kwa genge hilo la ukufurishaji.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS