-
Vita vyashtadi Afghanistan huku Taliban ikiteka miji mikuu ya majimbo sita ndani ya siku nne
Aug 10, 2021 02:33Mapigano makali yanaendelea kuripotiwa nchini Afghanistan baina ya vikosi vya jeshi la serikali na wanamgambo wa kundi la Taliban huku kundi hilo likiripotiwa kuwa limefanikiwa kuteka miji mikuu ya majimbo sita ndani ya muda wa siku nne.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan
Aug 07, 2021 11:28Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.
-
Rais wa Afghanistan: Taliban wamezidi kuwa madhalimu na kuzidi kuwa hawana Uislamu kuliko walivyokuwa kabla
Aug 02, 2021 03:57Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan amelikosoa vikali kundi la Taliban kutokana na linavyoshupalia vita na akasema: kundi hili limekuwa dhalimu zaidi na la kimamluki zaidi kuliko lilivyokuwa huko nyuma.
-
Hamu ya wanamgambo wa Taliban ya kutatuliwa matatizo ya Afghanistan kupitia njia ya mazungumzo
Jul 19, 2021 14:44Kundi la wanamgambo wa Taliban limetoa ujumbe kwa mnasaba wa kuwadia sikukuu ya Eidul-Haj na kuonyesha hamu na shauku lilionayo ya kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Afghanistan kwa njia ya mazungumzo.
-
Taliban yapongeza kuondoka askari wa Marekani Bagram
Jul 03, 2021 02:44Kundi la Taliban limesema Afghanistan imepiga hatua moja mbele kuelekea katika amani na uthabiti, wakati huu ambapo Marekani inawaondoa wanajeshi wake wote nchini humo.
-
Kundi la Taliban la Afghanistan lasema, halina uadui na Waislamu wa Kishia
Jun 26, 2021 07:17Msemaji wa kundi la Taliban la Afghanistan amesema kuwa, kundi hilo halina uadui na Waislamu wa Kishia nchini humo na halitofanya ubaguzi wowote dhidi yao.
-
Taliban wateka bwawa muhimu huku mapigano makali yakiwa yanaendelea Afghanistan
May 07, 2021 02:22Kundi la Taliban limeteka bwawa la pili kwa ukubwa na umuhimu nchini Afghanistan katika mapigano makali na vikosi vya jeshi la serikali kwenye mkoa wa Kandahar huku jeshi vamizi la Marekani likiwa limeanza kuwaondoa askari wake tangu ilipoivamia kijeshi nchi hiyo miaka 20 iliyopita.
-
Kuanza mchakato wa kuondoka askari wa Marekani na wa NATO kutoka nchini Afghanistan
Apr 27, 2021 04:21Jenerali Austin Scott Miller, kamanda wa askari wa Marekani na wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini Afghanistan alitangaza Jumapili iliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, mchakato wa kuondoka wanajeshi wa Marekani na wa NATO huko Afghanistan umeanza katika baadhi ya vituo vya kijeshi nvya nchi hiyo na kwamba, vituo vyote vya kijeshi vitakabidhiwa kwa vikosi vya Kiafghani.
-
Jeshi la Afghanistan lasema limeua wanachama 104 wa Taliban
Apr 07, 2021 03:25Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 100 wa kundi la Taliban ndani ya saa 24.
-
Taliban yaonya kuwa itaanzisha tena vita kamili dhidi ya Marekani nchini Afghanistan
Feb 27, 2021 06:31Msemaji wa Taliban amesema, kundi hilo halitakubali kuangaliwa upya au kufanywa mazungumzo tena kuhusu mapatano ya Qatar iliyofikia Marekani; na endapo Marekani itayakiuka mapatano hayo, huo utakuwa ni uanzishaji wa vita vipya nchini Afghanistan.