-
Jeshi la Afghanistan laua wanachama 153 wa Taliban
Feb 13, 2021 11:10Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 150 wa kundi la Taliban katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Marekani yakataa kuondoa kikamilifu wanajeshi wake walioko Afghanistan
Jan 31, 2021 02:51Marekani imetazama upya aghalabu ya sera na hatua za serikali iliyotangulia ya Trump baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden. Siasa za Washington kuhusu Afghanistan na kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo ni kati ya masuala hayo.
-
Majaji wawili wanawake wauawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul
Jan 18, 2021 04:48Watu wenye silaha wasiojulikana wamewaua kwa kuwapiga risasi majaji wawili wanawake katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Kukosoa serikali ya Afghanistan hatua ya Taliban ya kuwalenga wananchi katika mashambulio yake
Dec 30, 2020 02:47Serikali ya Afghanistan imekosoa vikali hatua ya kundi la wanamgambo wa Taliban ya kuwalenga kwa mashambulio wanaharakati wa kiraia, shakhsia mbalimbali na wanahabari na kueleza kwamba, hicho ni kilele cha udhalili wa kundi hilo.
-
Safari ya Miller Afghanistan; juhudi za Marekani za kutaka kuendelea kuwepo kijeshi nchini humo
Dec 24, 2020 03:32Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani juzi Jumanne alielekea mji mkuu wa Afghanistan Kabul katika safari ya ghafla ambayo haikutangazwa kabla na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Muhammad Ashraf Ghani.
-
Kuanza tena mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Afghanistan na Taliban nchini Qatar
Oct 14, 2020 16:14Wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na wa kundi la Taliban wameanza tena mazungumzo yao nchini Qatar ya kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini Afghanistan. Pande hizo mbili zinakutana mara hii kujadili tofauti zilizopo baina yao ili kuweza kufikia mwafaka.
-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 10:35Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.
-
Serikali ya Afghanistan: Taliban inatumia mbinu ya kupoteza muda katika mazungumzo
Sep 27, 2020 13:41Mjumbe wa timu ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan katika mazungumzo ya amani ya Doha amelituhumu kundi la Taliban kuwa linatumia mbinu ya kupoteza muda katika mazungumzo hayo.
-
Abdullah Abdullah: Mazungumzo ya amani na Taliban ni magumu
Sep 19, 2020 04:28Mkuu wa Baraza la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, mazungumzo ya amani baina ya Waafghani wanayofanya wao na kundi la Taliban ni magumu.
-
Mazungumzo ya Wafghani yaendelea Doha, Taliban yakataa ombi la serikali la kusitisha vita
Sep 17, 2020 13:03Msemaji wa ofisi ya kisiasa ya kundi la Taliban nchini Qatar amelikataa ombi la serikali ya Afghanistan la kusitisha vita, wakati pande hizo mbili zinaendelea na mazungumzo ya amani katika mji mkuu wa Qatar, Doha.