Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Mmarekani na Mjerumani waongeza idadi ya walioingia na corona nchini Tanzania

    Mmarekani na Mjerumani waongeza idadi ya walioingia na corona nchini Tanzania

    Mar 18, 2020 09:29

    Idadi ya watu walio na ugonjwa wa COVID-19 imeongezeka nchini Tanzania baada ya vipimo vya raia wawili wa Marekani na Ujerumani kuthibitika kuwa wameambukizwa kirusi cha corona.

  • Tanzania; Mufti afunga madrasa zote, hali ya mgonjwa wa kwanza wa corona inaendelea vizuri

    Tanzania; Mufti afunga madrasa zote, hali ya mgonjwa wa kwanza wa corona inaendelea vizuri

    Mar 18, 2020 09:17

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote nchini humo hadi utakapotangazwa utaratibu mpya.

  • SAUTI, Serikali ya Tanzania yafunga shule zote kuanzia za msingi na secondari kuzuia maambukizi ya virusi hatari vya Corona

    SAUTI, Serikali ya Tanzania yafunga shule zote kuanzia za msingi na secondari kuzuia maambukizi ya virusi hatari vya Corona

    Mar 17, 2020 13:47

    Serikali ya Tanzania imesema shule zote za awali, msingi na sekondari zitafungwa kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19) ndani ya nchi hiyo.

  • Serikali ya Tanzania yafunga shule, matamasha na michezo kwa hofu ya corona

    Serikali ya Tanzania yafunga shule, matamasha na michezo kwa hofu ya corona

    Mar 17, 2020 11:26

    Serikali ya Tanzania imesema shule zote za awali, msingi na sekondari zitafungwa kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020 ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19)

  • Tanzania yathibitisha kuwepo mgonjwa wa corona nchini humo

    Tanzania yathibitisha kuwepo mgonjwa wa corona nchini humo

    Mar 16, 2020 10:51

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwepo mgonjwa wa COVID-19 maarufu kama virusi vya corona ambaye aliingia nchini humo jana Jumapili.

  • Jeshi la Polisi Tanzania: Hatujawapiga wabunge wa upinzani

    Jeshi la Polisi Tanzania: Hatujawapiga wabunge wa upinzani

    Mar 14, 2020 10:07

    Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetupilia mbali madai ya kuwapiga wabunge wa chama cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kusisitiza kuwa, hilo sio jukumu lake.

  • Bernard Membe: Kamati Kuu ya CCM ilifanya uamuzi wa haraka dhidi yangu na kuwaaminisha Watanzania ndivyo sivyo

    Bernard Membe: Kamati Kuu ya CCM ilifanya uamuzi wa haraka dhidi yangu na kuwaaminisha Watanzania ndivyo sivyo

    Mar 09, 2020 11:28

    Aliyekuwa kada wa chama tawala nchini Tanzania CCM na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Bernard Membe, amesema kuwa kamati kuu ya chama hicho ilifanya haraka kutangaza mapendekezo yake ya kumfukuza ndani ya chama kabla ya kuchukuliwa uamuzi.

  • Dk Bashiru amjibu Membe, asema kama tatizo ni urais tukutane uwanjani

    Dk Bashiru amjibu Membe, asema kama tatizo ni urais tukutane uwanjani

    Mar 02, 2020 09:45

    Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amemjibu Bernard Membe aliyekuwa kada wa chama hicho na Waziri wa Mambo ya Nje wa Zamani wa nchi hiyo, akimtaka kugombea urais kwa tiketi ya chama kingine cha siasa ili wakutane uwanjani.

  • Watanzania waendelea kutoa radiamali kufuatia Bernard Membe kupigwa kalamu nyekundu na CCM

    Watanzania waendelea kutoa radiamali kufuatia Bernard Membe kupigwa kalamu nyekundu na CCM

    Mar 01, 2020 11:19

    Uamuzi wa Kamati Kuu ya chama cha Mapinduzi CCM wa kumfukuza uanachama Bernard Membe kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, umepokelewa kwa hisia tofauti na Watanzania.

  • Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu

    Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu

    Feb 27, 2020 12:59

    Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS