Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Hatimaye Erick Kabendera aachiliwa huru baada ya kukiri makosa na kulipa sehemu ya faini

    Hatimaye Erick Kabendera aachiliwa huru baada ya kukiri makosa na kulipa sehemu ya faini

    Feb 24, 2020 10:29

    Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es salaam imemwachilia huru mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera na kumwamuru alipe faini na fidia ya jumla ya Shilingi milioni 273 baada ya kukiri makosa yaliyokuwa yanamkabili yakiwemo ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi huku akiondolewa shitaka la kuongoza genge la uhalifu.

  • Kambi ya upinzani Tanzania yapata pigo jingine baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema kutimkia CCM

    Kambi ya upinzani Tanzania yapata pigo jingine baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema kutimkia CCM

    Feb 18, 2020 13:12

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania Dk Vicent Mashinji leo Jumanne Februari 18 amehamia chama tawala CCM na kupokewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

  • Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha Tanzania wanafunzi walioko China + Sauti

    Balozi Kairuki: Serikali Haitawarudisha Tanzania wanafunzi walioko China + Sauti

    Feb 12, 2020 09:20

    Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo la kutoingia wala kutoka kwenye mji huo kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Rais wa Tanzania amfuta kazi afisa wa serikali aliyeichana Qurani

    Rais wa Tanzania amfuta kazi afisa wa serikali aliyeichana Qurani

    Feb 11, 2020 09:24

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, kuhakikisha anamuandikia barua ya kumfukuza kazi mfanyakazi wa wizara hiyo aliyechana na kuitemea mate Qurani Takatifu mkoani Morogoro.

  • Membe: Nimefurahi sana kuhojiwa na Kamati ya CCM, sehemu ya niliyoulizwa itakuwa ikitoka kidogokidogo

    Membe: Nimefurahi sana kuhojiwa na Kamati ya CCM, sehemu ya niliyoulizwa itakuwa ikitoka kidogokidogo

    Feb 06, 2020 12:42

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa safari yake ya kwenda Dodoma ilikuwa  ya manufaa makubwa sana kwake, kwa chama cha Mapinduzi CCM na kwa Taifa na kwamba masuala mengine aliyohojiwa na kamati ya chama hicho yataendelea kutoka kidogokidogo hapo baadaye.

  • Wanajeshi 10 wa Tanzania wapoteza maisha wakati wakifanya mazoezi

    Wanajeshi 10 wa Tanzania wapoteza maisha wakati wakifanya mazoezi

    Feb 03, 2020 10:39

    Jeshi la Ulinzi la Tanzania limetangaza kuwa askari 10 wa jeshi hilo wamepoteza maisha wakati wakifanya mazoezi.

  • Radiamali za nchi zilizowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Radiamali za nchi zilizowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Feb 02, 2020 04:04

    Serikali ya Eritrea imekosoa vikali hatua ya Washington ya kuwawekea vizingiti raia wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika wanaotaka kwenda Marekani ikisisitiza kuwa, vikwazo hivyo vya usafiri havikubaliki.

  • Makumi wapoteza maisha wakigombania 'mafuta ya upako' Tanzania + Sauti

    Makumi wapoteza maisha wakigombania 'mafuta ya upako' Tanzania + Sauti

    Feb 02, 2020 00:13

    Kwa akali watu 20 wameaga dunia katika mkanyagano wa harakati za kutaka kukanyaga 'mafuta ya upako' kwenye kongamano la 'Mtume' Boniface Mwaiposa lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kaskazini mashariki mwa Tanzania jioni ya jana Jumamosi.

  • Baada ya Lugola kupigwa kalamu nyekundu, Rais Magufuli amemteua Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania

    Baada ya Lugola kupigwa kalamu nyekundu, Rais Magufuli amemteua Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania

    Jan 23, 2020 12:30

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Kangi Lugola mbunge wa Mwibara (CCM). Hayo yameelezwa jioni ya leo na katibu mkuu kiongozi, Balozi John Kijazi.

  • Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Jan 22, 2020 08:37

    Marekani ina mpango wa kuziongeza nchi nyingine saba zikiwemo Tanzania na Nigeria kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wanatarajiwa kuwekewa vikwazo na vizingiti vya kuingia nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS