-
Magufuli awaambia polisi: Wakamateni wale wote wanaovihusisha vyombo vya usalama na matukio ya kupotea watu
Jan 13, 2020 04:47Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amelitaka jeshi la polisi kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wanaovihusisha vyombo vya ulinzi na usalama ikiwamo Idara ya Usalama wa Taifa (Tiss), na matukio ya kupotea na kutekwa nyara watu.
-
Wazanzibar: Miaka 56 baadaye, malengo ya Mapinduzi hayajafikiwa
Jan 12, 2020 13:14Sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo Jumapili katika Uwanja wa Abeid Aman Karume kisiwani Unguja.
-
Mkuu wa Mkoa wa Tabora afuta mapumziko ya Mwaka Mpya; watu wakalime pamba + Sauti
Dec 15, 2019 12:50Nchini Tanzania, Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameagiza kuakhirishwa likizo ya A-Mass na mwaka mpya kwa maafisa wa kilimo na maafisa wote katika kipindi hiki cha mvua, ili watoke waende vijijini wakawahimize wananchi kulima pamba kwa ubora unaotakiwa. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam, Tanzania
-
SAUTI, Usikose kutegea sikio ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia Tanzania hadi nchini Kenya
Dec 13, 2019 13:09Ripoti hii ya matukio ya Kiislamu imesheheni habari za Ijtimai iliyofanyika visiwani Zanzibar, ukaguzi wa msikiti mkubwa zaidi eneo la jangwa la sahara unaojengwa na Mfalme wa Sita wa Morocco nchini Tanzania, safari ya Mufti wa Tanzania Abubakar Zuberi nchini Morocco kuhudhuria kongamano la Kiislamu na hadi mjini Nyeri nchini Kenya.
-
Wanyamapori waua watu 96 nchini Tanzania
Dec 09, 2019 04:38Watu zaidi ya 96 wameuawa na wengine 90 wamejeruhiwa kutokana na wanyamapori waliovamia mashamba na maeneo ya makazi nchini Tanzania tangu Julai mwaka 2018 hadi Julai mwaka 2019.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ajitoa Chadema + Video
Dec 04, 2019 08:14Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Frederick Tluway Sumaye ameng'oka rasmi kwenye chama cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA.
-
Amnesty International: Uamuzi wa Tanzania katika Mahakama ya Afrika utazidisha ukandamizaji
Dec 03, 2019 10:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limesema uamuzi wa Tanzania kujitoa katika kifungu kinachowawezesha raia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuishtaki serikali katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake katika mji wa Arusha unahatarisha ongezeko la ukandamizaji nchini humo.
-
Tundu Lissu: Ninaogopa kurudi Tanzania halafu nipigwe tena risasi
Nov 29, 2019 08:59Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema kwamba, atarejea nchini humo baada ya marafiki zake kumhakikishia usalama wake.
-
SAUTI, Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania waja na mpango wa kifurushi uliokosolewa na wanasiasa
Nov 28, 2019 13:04Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini Tanzania (NHIF) umekuja na njia ambayo imetajwa kuwa ni suluhisho la wananchi wengi wenye hali ngumu kukosa huduma hiyo.
-
Chama Tawala Tanzania: Kiongozi wa serikali atakayeshirikiana na mashirika ya kimataifa nchini atapoteza kazi
Nov 28, 2019 11:22Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amewaonya mawaziri na watendaji wa chama hicho tawala nchini humo kwa kuwataka waache kushirikiana na asasi na mashirika ya kimataifa yasiyoshirikiana na serikali na kusisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya hivyo basi atapoteza kazi yake.