-
Mvua, radi na mafuriko yaua watu 10 nchini Tanzania
Nov 25, 2019 08:53Watu tisa wa familia mbili wamefariki dunia katika wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza nchini Tanzania, baada ya nyumba zao kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wafanyika leo Tanzania ukisusiwa na vyama muhimu vya upinzani
Nov 24, 2019 12:05Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefanyika leo nchini Tanzania ukisusiwa na vyama vingi kikiwemo chama kikuu cha upinzani, CHADEMA.
-
Watanzania kuwachagua kesho viongozi wa serikali za mtaa katika uchaguzi uliosusiwa na wapinzani
Nov 23, 2019 13:36Kesho Watanzania watawachagua viongozi wa serikali za mitaa katika uchaguzi ambao umesusiwa na vyama muhimu vya upinzani nchini humo.
-
Mahakama imeakhirisha kwa mara ya nane kusikiliza kesi inayomkabili mwandishi habari Kabendera
Nov 20, 2019 09:49Mahakama nchini Tanzania leo imeakhirisha kwa mara ya nane kusikiliza kesi inayomkabili mwandishi habari mashuhuri wa nchi hiyo aliyekamatwa mwezi Julai mwaka huu.
-
Hali ya kisiasa Tanzania kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
Nov 17, 2019 23:17Huku zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania, chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho ndio chama tawala kimetoa taarifa ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu.
-
Chama kingine cha siasa Tanzania chajitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM: Haturudi nyuma
Nov 14, 2019 04:41Wimbi la vyama vya siasa nchini Tanzania kujiengua katika uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushuhudiwa baada ya chama cha NLD nacho kuungana na vyama vingine sita vilivyochukua hatua hiyo.
-
Watu sita wauawa Mtwara, Tanzania, Polisi waanzisha uchunguzi
Nov 13, 2019 12:17Polisi nchini Tazania wameanzisha uchunguzi baada ya watu sita kuuawa katika kijiji cha Nongo, Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtawara.
-
Chama cha CUF nacho chajitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania
Nov 12, 2019 09:51Habari kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania zinasema kuwa Chama cha Wananchi (CUF) nchini humo hatimaye kimejitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu.
-
EUROMONEY: Ustawi Tanzania utadorora kutokana na ukandamizaji wa kisiasa
Nov 06, 2019 04:21Jarida la Euromoney limesema Tanzania itakumbwa na matatizo ya kutekeleza mahitajio yake ya miundo msingi kutokana na hali ya kisiasa yenye kuibua changamoto.
-
Freeman Mbowe: Chadema tunaamini kwamba CCM imeshindwa kabisa kutekeleza ndoto za Watanzania
Nov 05, 2019 11:38Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa chama tawala CCM kimeshindwa kutekeleza ndoto za Watanzania za kuwajengea maisha bora na ustawi.