-
Profesa Assad: Nimesamehe kila kitu, lakini sikujua kama ningepata uadui nikiwa CAG
Nov 04, 2019 13:15Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyemaliza muda wake, Profesa Mussa Assad amesema kuwa, hakujua na wala hakuwahi kufikiri kama angeweza kutengeneza adui wakati wa utekelezaji wa majukumu yake akiwa katika ofisi hiyo.
-
Rais wa Tanzania amteua CAG mpya baada ya kipindi cha Prof. Assad kumalizika
Nov 03, 2019 09:45Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania leo amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na hivyo kuchukua nafasi ya Profesa Mussa Assad ambaye kipindi chake kinamalizika.
-
Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Nordic
Nov 01, 2019 10:57Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Africa na Nordic unaotazamiwa kufanyika mjini Dar es Salaam tarehe 8 mwezi huu wa Novemba.
-
Mufti wa Tanzania: Katika Uislamu, mtoto wa kike akivunja ungo anaruhusiwa kuolewa
Oct 30, 2019 11:21Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amesema, kwa dini ya Kiislamu, mtoto wa kike akivunja ungo anaruhusiwa kuolewa ikiwa atahitajika kufanya hivyo. Hata hivyo ameongeza kuwa, kwa maslahi ya elimu, mtoto huyo atapaswa kusubiri mpaka umri wa miaka 18 na kuendelea.
-
Kumbukumbu ya siku aliyofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW + Sauti
Oct 28, 2019 01:47Katika kumbukumbu ya kifo cha Bwana Mtume Muhammad SAW nchini Tanzania, viongozi wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuweka mikakati imara ya kuwalingania vijana na sio kuwaona ni waasi waliopotoka. Amari Dachi na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam.
-
Amnesty, HRW zaijia juu serikali ya Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu
Oct 28, 2019 08:58Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yameituhumu serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kuwa inakiuka haki za binadamu.
-
Mvua na mafuriko yaendelea kuua na kusababisha hasara nchini Tanzania
Oct 26, 2019 08:38Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Tanzania zimeendelea kusababisha maafa na hasara kubwa nchini humo.
-
SAUTI, Mahakama ya Tanzania yapigilia msumari sheria ya ndoa ya utotoni, yataka binti aliye chini ya miaka 18 asiolewe
Oct 24, 2019 13:47Mahkama ya Rufaa nchini Tanzania imeitaka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubadili vifungu vya sharia ya ndoa vinavyomruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18 kwa lengo la kutoa usawa baina ya mtoto wakike na wakiume.
-
Karibu watu 30 waaga dunia kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Tanzania
Oct 17, 2019 10:23Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo imeongezeka na kufikia watu 29 kutoka 11.
-
Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti
Oct 10, 2019 12:06Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania