Kumbukumbu ya siku aliyofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW + Sauti
Oct 28, 2019 01:47 UTC
Katika kumbukumbu ya kifo cha Bwana Mtume Muhammad SAW nchini Tanzania, viongozi wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuweka mikakati imara ya kuwalingania vijana na sio kuwaona ni waasi waliopotoka. Amari Dachi na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam.
Tags