Wazanzibar: Miaka 56 baadaye, malengo ya Mapinduzi hayajafikiwa
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i58468-wazanzibar_miaka_56_baadaye_malengo_ya_mapinduzi_hayajafikiwa
Sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo Jumapili katika Uwanja wa Abeid Aman Karume kisiwani Unguja.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jan 12, 2020 13:14 UTC

Sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo Jumapili katika Uwanja wa Abeid Aman Karume kisiwani Unguja.

Licha ya mgeni rasmi kwenye sherehe hizo Rais wa Zanzibar Dakta Ali Muhammed Shein kuashiria kuhusu mafanikio mengi yaliyopatikana ndani ya kipindi hicho, lakini aghalabu ya Wazanzibar wanahisi kuwa malengo haswa ya Mapunduzi hayajafikiwa. Mwandishi wetu wa Z'bar Harith Subeit ana maelezo ya kina.....