Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Waziri Mkuu wa Tanzania: Dola bilioni 80 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi miundombinu EAC

    Waziri Mkuu wa Tanzania: Dola bilioni 80 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi miundombinu EAC

    Mar 09, 2016 11:59

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, zaidi ya dola za Kimarekani bilioni 80 zinahitajika katika kukamilisha ujenzi wa miundombinu kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

  • CUF yakanusha kuwa Maalim Seif yuko kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi

    CUF yakanusha kuwa Maalim Seif yuko kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi

    Mar 08, 2016 04:05

    Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimekanusha taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amelazwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.

  • Sakata la uchaguzi wa Meya jijini Dar es Salaam, Tanzania + Sauti

    Sakata la uchaguzi wa Meya jijini Dar es Salaam, Tanzania + Sauti

    Mar 06, 2016 14:39

    Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameitaka mamlaka inayohusika kusimamia uchaguzi wa meya wa jiji hilo unaokwama kufanyika kutokana na kuahirishwa mara kwa mara, kutangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi huo ili jiji hilo limpate kiongozi wake.

  • Katibu Mkuu mstaafu wa EAC ataka wananchi wamuunge mkono Magufuli

    Katibu Mkuu mstaafu wa EAC ataka wananchi wamuunge mkono Magufuli

    Mar 05, 2016 04:06

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliyemaliza muda wake, Dk Richard Sezibera amewataka wananchi kuunga mkono jitihada za kupambana na rushwa zinazofanywa na viongozi wa jumuiya hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake wa sasa, Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  • Maafisa wa jeshi la wanamaji la Tanzania kupatiwa mafunzo Iran

    Maafisa wa jeshi la wanamaji la Tanzania kupatiwa mafunzo Iran

    Mar 05, 2016 00:03

    Balozi wa Iran nchini Tanzania amesema maafisa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wamekubaliana kuendelea kufanywa kwa utaratibu maalumu safari za manowari za operesheni na za utoaji mafunzo za Iran huko nchini Tanzania.

  • Manowari za Jeshi la Iran zatia nanga bandari ya Dar es Salaam, Tanzania

    Manowari za Jeshi la Iran zatia nanga bandari ya Dar es Salaam, Tanzania

    Mar 01, 2016 12:16

    Manowari ndogo kadhaa za jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizobeba ujumbe wa amani na urafiki zimetia nanga katika bandari ya mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.

  • Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba

    Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba

    Feb 27, 2016 22:59

    Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.

  • Gesi zaidi yagunduliwa katika pwani ya Tanzania

    Gesi zaidi yagunduliwa katika pwani ya Tanzania

    Feb 26, 2016 04:21

    Tanzania imegundua takribani futi za ujazo trillioni 2.17 za Gesi katika eneo la Ruvu lililoko katika Mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka katika jiji la Dar es Salaam.

  • Lipumba: Rais Magufuli atangaze mshahara wake kwa Watanzania

    Lipumba: Rais Magufuli atangaze mshahara wake kwa Watanzania

    Feb 23, 2016 10:30

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Rais John Pombe Magufuli atangaze mshahara na marupurupu yake, kwa kile alichokisema kuwa ni rais huyo kujivisha joho la kuwa rais wa wanyonge.

  • Rwanda na Tanzania zaahidi kuboresha uhusiano

    Rwanda na Tanzania zaahidi kuboresha uhusiano

    Feb 19, 2016 04:11

    Serikali za Rwanda zimetangaza azma ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa na kuweka kando hitilafu zilizolemaza muamala wa pande mbili hizo katika miaka ya hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS