-
Mkutano wa 3 wa Kiuchumi wa Iran na Afrika umeanza mjini Tehran
Apr 27, 2025 07:49Mkutano wa 3 wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika umeanza leo hapa Tehran na utaendelea hadi tarehe 29 mwezi huu wa Aprili. Mkutano huu aidha utaendelea katika mji wa Isfahan hapa nchini tarehe 29 hadi 30 Aprili.
-
Eslami aitaka IAEA kutoegemea upande wowote katika mazungumzo ya kati ya Tehran na Washington
Apr 18, 2025 02:39Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa Tehran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) hautoegemea upande wowote kuhusiana na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Tehran na Washington.
-
Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina
Apr 04, 2025 12:31Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa adhimu la Palestina na kusimama imara kukabiliana na Uistikbari na mamluki wake yaani utawala wa niaba wa Wazayuni katika eneo hili.
-
Imam wa Swala ya Ijumaa: Maandamano ya Siku ya Quds ni dhihirisho la Tauhidi na kumpenda Mungu
Mar 28, 2025 13:01Imam wa Swala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran ameashiria kushiriki kwa wingi na kwa hamas wananchi wa Iran ya Kiislamu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu na kusema: Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds siku zote yamekuwa dhihirisho la Tauhidi na kumpenda Mwenyezi Mungu.
-
Maonyesho ya Qur'ani ni mahali pa kujifunza juu ya muujiza wa Neno la Mungu
Mar 06, 2025 04:58Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema: "Maonyesho ya Qur'ani yanapaswa kutufahamisha kuhusu miujiza ya Wahyi na kutukurubisha kwenye muujiza wa kimaarifa na wa batini wa Qur'ani."
-
Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran
Dec 06, 2024 12:09Mkutano wa 26 wa nchi zinazouza gesi duniani umeanza shughuli zake hapa mjini Tehran.
-
Russia: Mkataba wa ushirikiano mpana wa kistratejia na Iran utajumuisha ulinzi na usalama
Nov 24, 2024 10:03Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mkataba wa ushirikiano wa kimkakati na mpana kati ya nchi yake na Iran utajumuisha pia ushirikiano katika sekta ya ulinzi na usalama.
-
Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN
Sep 26, 2024 07:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye alisafiri kwenda mjini New York kushiriki katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), ameondoka mjini humo usiku wa kuamkia leo kurejea Tehran baada ya siku tatu za mikutano na mashauriano ya kina ya kidiplomasia aliyofanya huko.
-
Tehran yakadhibisha tuhuma za maafisa wa Sweden dhidi ya Iran
Sep 25, 2024 07:56Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden umekadhibisha tuhuma zisizo na msingi na za uongo zilizotolewa na maafisa wa serikali ya Sweden dhidi ya Tehran.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran
Sep 19, 2024 06:48Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.