-
OIC yasema, Israel 'inabeba dhima kamili' ya mauaji ya Kiongozi wa HAMAS Ismail Haniya
Aug 08, 2024 06:32Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa shambulizi la kigaidi lililomuua Ismail Haniya, Mkuu wa Tawi la Kisiasa la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wiki iliyopita nchini Iran, ambayo Tehran imeapa kuyalipizia kisasi.
-
Tehran inajiandaa kwa hafla ya kuapishwa Pezeshkian huku viongozi wa nchi mbalimbali wakiwasili kwa wingi
Jul 29, 2024 12:39Viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka nchi mbalimbali tayari wamewasili Tehran mji mkuu wa Iran kwa lengo la kushiriki katika hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran, Masoud Pezeshkian kesho Jumanne.
-
Tehran, mwenyeji wa mkutano wa nafasi ya utambulisho wa asili na muqawama katika kuasisi mfumo mpya duniani
Jun 27, 2024 12:29Mkutano wa kimataifa uliofanyika chini ya anwani ya "Nafasi ya Utambulisho wa Asili na Muqawama Katika Kuasisi Mfumo Mpya Duniani" umefanyika leo hapa Tehran kwa kuhudhuriwa na wataalamu na wanafikra wa kimataifa.
-
Mokhber: ACD inaweza kuwa na mchango muhimu katika kuasisi Asia yenye umoja, nguvu na athirifu zaidi
Jun 24, 2024 11:30Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika Jukwaa la Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia yaani Asia Cooperation Dialogue (ACD) la kundi la D-8 hapa njini Tehran kwamba Asia inaweza kuwa chanzo cha mabadiliko chanya katika michakato ya kimataifa na kichocheo kikubwa cha umoja na mshikamano wa kimataifa.
-
Viongozi wa nchi 68 watoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Sayyid Raisi na ya wenzake
May 22, 2024 14:56Viongozi na maafisa wakuu wa nchi 68 duniani leo wamefika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Tehran kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais Sayyid Ebrahim Raisi na ya wenzake waliokufa shahidi pamoja naye katika ajali ya helikopta iliyotokea siku ya Jumapili.
-
Wakazi wa mji mkuu wa Iran watoa heshima za mwisho kwa Ebrahim Raisi na wenzake
May 22, 2024 07:23Wananchi na wakazi wa mji wa Tehran leo wametoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Ebrahim Rais pamoja na wenzake walioaga dunia katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili.
-
Safari ya Rais wa Cuba mjini Tehran
Dec 04, 2023 02:59Rais wa Jamhuri ya Cuba ambaye anangoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake amefanya safari mjini Tehran kwa mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ebrahim Raisi: Bilikuli utawala wa Kizayuni hauwezi kuwa rafiki wa nchi yoyote ya Kiiislamu
Oct 24, 2023 07:26Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katu utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa rafiki wa nchi yoyote ya Kiiislamu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Uanachama wa Iran katika BRICS utavunja sera za upande mmoja
Aug 25, 2023 12:16Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Uanachama wa Iran katika kundi la "BRICS" una ufanisi kubwa katika kuvunja za kibeberu za maamuzi ya upande mmoja na pua kuvunja ubabe Marekani katika uga wa kiuchumi.
-
Ayatullah Khatami: Hatima ya maadui wa Iran si nyingine ghairi ya kushindwa
Jun 29, 2023 11:28Imamu wa Swala ya Eidul-Adh'ha iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatima ya maadui na upinzani dhidi ya Iran si nyingine bali ni kushindwa na kufeli katika mipango yao.